Kupitia sheria ndogo za halmashari zilizopo katika Mkoa wa Shinyanga na kuzifanyia marekebisho kabla ya kuwasilishwa kwa waziri mwenye dhamana ili aweze kuzipitisha kwa ajili ya kutumika katika halmashauri husika.
Kupitia mikataba mbali mbali na kuifanyia marekebisho kabla ya kufunga mikataba.
Kutoa ushauri wa kisheria kwa wananchi wanaofika katika ofisi ya Mkuu wa Mkoa.
OFISI YA MKUU WA MKOA, MKOA WA SHINYANGA, 04 MTAA WA BOMA
Anuani: P.O.Box 37180,SHINYANGA, TANZANIA
Simu: +255 28 2762222
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: ras@shinyanga.go.tz
Hakimiliki@2018. Mkoa wa Shinyanga. Haki zote zimehifadhiwa