• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
    • eVibali |
Shinyanga Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Shinyanga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili Yetu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
    • Idara
      • Utawala na Rasilimaliwatu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Maji
      • Afya
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ugavi na Manunuzi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Shinyanga
    • Wilaya ya Kahama
    • Wilaya ya Kishapu
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu
    • Halmashauri ya Mji wa Kahama
    • Halmashauri ya Wilaya ya Ushetu
    • Halmashauri ya Wilaya ya Msalala
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Madini
    • Bandari Kavu
  • Huduma
    • Kutoa Ushauri wa Kitaalam
    • Kutafsiri Sheria na Sera
    • Kuratibu Shughuli za Wadau
    • Ulinzi na Usalama
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Fomu
    • Tafiti
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Video
    • Maktaba ya Picha

Maktaba ya Video

  • RC MHITA AONGOZA MAPOKEZI YA MADAKTARI BINGWA SHINYANGA | HUDUMA ZA KIBINGWA KWA WANANCHI WA HALMASHAURI 6!

    October 13th, 2025

    Karibu kwenye video hii maalum ya mapokezi ya Madaktari Bingwa 36 kutoka Wizara ya Afya waliowasili mkoani Shinyanga kwa ajili ya kutoa huduma za kibingwa katika hospitali zote za halmashauri za mkoa huu kuanzia Oktoba 13 hadi 17, 2025.  

    Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Mhe. Mboni Mhita, akiwaongoza viongozi wengine wa afya, amewapokea rasmi madaktari hao na kuwahimiza wananchi kujitokeza kwa wingi kupata huduma.  Huduma zitakazotolewa ni pamoja na:

      ✅ Magonjwa ya wanawake na uzazi

      ✅ Watoto wachanga

      ✅ Kinywa na meno  

    ✅ Upasuaji  

    ✅ Magonjwa ya ndani na zaidi! 

     

  • RC MHITA AAGIZA MKANDARASI KUKATWA MILIONI 2 KILA SIKU KWA KUCHELEWESHA BARABARA KAHAMA

    October 1st, 2025

    Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Mboni Mhita @mboni_mhita ameonyesha kutoridhishwa na kasi ya ujenzi wa barabara za ndani katika Manispaa ya Kahama na kuagiza hatua kali zichukuliwe dhidi ya mkandarasi anayetekeleza mradi huo, Kampuni ya Sichuan Road and Bridge Group (SRBG).

    Akiwa kwenye ziara ya kukagua maendeleo ya ujenzi huo unaotekelezwa kupitia Mradi wa TACTIC iliyofanyika Septemba 30,2025 RC Mhita amemuagiza Mkurugenzi wa Manispaa ya Kahama Masoud Kibetu kuandika barua rasmi kwa mkandarasi huyo, ikiambatana na adhabu ya kukatwa milioni 2 kwa kila siku kuanzia Oktoba 1, 2025, baada ya mkataba wake kufikia ukomo tarehe 30 Septemba 2025, bila kazi kukamilika.

    “Mkandarasi huyu amelipwa zaidi ya shilingi bilioni 5, lakini kasi ya utekelezaji ni ya kusuasua licha ya kuongezewa muda mara mbili. Serikali haina tena sababu ya kumuongezea mkataba,” alisema Mhita kwa msisitizo.

    Amesema Serikali ya Mkoa haitavumilia kuona fedha za umma zinatumika bila matokeo halisi, akisisitiza kuwa kila mkandarasi anapaswa kuzingatia muda wa utekelezaji na thamani ya fedha inayotolewa kwa miradi ya maendeleo.

    Katika maagizo yake, Mhita amesisitiza kuwa adhabu hiyo ya kisheria inalenga kulinda maslahi ya wananchi ambao wanasubiri huduma bora za miundombinu na kuonya kuwa hatua zaidi za kisheria zitachukuliwa endapo mkandarasi atashindwa kumaliza kazi hiyo kwa haraka.

    Ziara hiyo imekuwa sehemu ya msukumo wa kuhakikisha utekelezaji wa miradi ya maendeleo unakwenda kwa kasi inayostahili, huku RC Mhita akisisitiza uwajibikaji kwa watendaji wote na wadau wa ujenzi katika Mkoa wa Shinyanga

     Nao baadhi ya wananchi waliokuwepo kwenye mradi huo walimpongeza RC Mhita kwa hatua alizochukua na kumuomba kumsimamia kwa ukaribu mkandarasi huyo katika kipindi ambacho Mvua zinatarajia kunyesha ili wasipate madhara yakiwemo mafuriko kutokana na kutokamilika kwa miundombinu katika manispaa ya Kahama.

  • HATUTAKUBALI KUKWAMISHWA UJENZI BARABARA YA MWAWAZA – RC MHITA.

    September 29th, 2025

    Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Mboni Mhita @mboni_mhita , ametembelea ujenzi wa barabara ya Mwawaza inayojengwa kwa kiwango cha lami na kutoa kauli madhubuti kuhusu umuhimu wa kukamilika kwa mradi huo kwa wakati.

    Amesisitiza kuwa hatakubali kuona mtu au taasisi yoyote ikikwamisha ujenzi huo, kwani barabara hiyo ni mkombozi mkubwa kwa wananchi, hususan wagonjwa wanaosafiri kutibiwa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa huo na wakazi wanaopata shida ya kufikika kwa urahisi.

    "Barabara hii ni uhai kwa watu wanaokwenda kutibiwa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa ( Mwawaza) ni lazima ijengwe kwa viwango na kwa wakati. 

    Hakuna nafasi ya uzembe wala ucheleweshaji utakaokubalika kwenye ujenzi wa mradi huu," amesema RC Mhita kwa msisitizo.Ujenzi huo unatajwa kuleta mapinduzi katika sekta ya afya, biashara na usafiri kwa ujumla, na Serikali imejipanga kuhakikisha unakamilika kama ilivyopangwa.

  • ← Prev
  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5
  • 6
  • 7
  • Next →

Matangazo

  • No records found
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • RC SHINYANGA AONGOZA WANANCHI SHINYANGA KUPIGA KURA

    October 29, 2025
  • SHINYANGA IKO TAYARI KWA UCHAGUZI MKUU OCTOBA 29,2025

    October 28, 2025
  • KASINYO AWATAKA WASIMAMIZI WA UCHAGUZI SHINYANGA KUFANYA KAZI KWA WELEDI NA UADILIFU.

    October 27, 2025
  • WASIMAMIZI 1632 WA VITUO 391 WAAPISHWA NA KUPATIWA MAFUNZO KUELEKEA UCHAGUZI MKUU JIMBO LA SHINYANGA MJINI.

    October 26, 2025
  • Angalia zote

Video

RC MHITA AWAHAMASISHA WAFANYABIASHARA NA WAWEKEZAJI KUCHANGAMKIA FURSA ZA KIUCHUMI MKOANI SHINYANGA
Video Nyinginezo

Viunganishi vya Haraka

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Hati ya Mshahara
  • Wakala ya Serikali Mtandao
  • Wizara ya Elimu na mafunzo ya ufundi
  • Tovuti Kuu ya Takwimu Huria
  • Idara ya Habari Maelezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2018. Mkoa wa Shinyanga. Haki zote zimehifadhiwa