Kwenye Mkoa wa Shinyanga kuna fursa za kuwekeza kwenye Sanaa na Utamaduni ambapo kuna maeneo maalumu yametengwa kwaajili ya kujenga Kumbi za kisasa za mikutano, sherehe, burudani mbalimbali pamoja na Maeneo kwaajili ya kuonesha Sinema, Maeneo kwaajili ya ujenzi Saluni za kisasa, Saluni za kike na kiume ubunifu wa mitindo, ufinyanzi, uchoraji , ubunifu wa Bustani, maeneo ya Mapumziko.
OFISI YA MKUU WA MKOA, MKOA WA SHINYANGA, 04 MTAA WA BOMA
Anuani: P.O.Box 320, 37180,SHINYANGA, TANZANIA
Simu: +255 28 2762222
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: ras@shinyanga.go.tz
Hakimiliki@2018. Mkoa wa Shinyanga. Haki zote zimehifadhiwa