Uchimbaji wa Madini Mkoa wa Shinyanga
Wakazi wa Mkoa wa Shinyanga hujishughulisha na uchimbaji mdogo wa madini ya Dhahabu na Almasi.
Kuna Migodi mikubwa ya uchimbaji wa madini ya Almasi katika mgodi wa Mwadui na dhahabu katika migodi ya Bulyanhulu na Buzwagi.
Boma Street, Mwanza Road
Anuani: P.O.Box 320, Shinyanga
Simu: +255 28 2762222
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: ras@shinyanga.go.tz
Hakimiliki@2018. Mkoa wa Shinyanga. Haki zote zimehifadhiwa