Tunao urithi wa mila na desturi ambapo tunao machifu ambao wanatumika kuelimisha na kuhamasisha jamii, kujiendeleza kiuchumi kwa kutumia vikundi mbalimbali kulima mazao lengo ikiwa ni kuongeza kipato kwa Mwananchi wa Shinyanga jambo linalochochea Ukuaji wa Uchumi wa mkoa.
OFISI YA MKUU WA MKOA, MKOA WA SHINYANGA, 04 MTAA WA BOMA
Anuani: P.O.Box 320, 37180,SHINYANGA, TANZANIA
Simu: +255 28 2762222
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: ras@shinyanga.go.tz
Hakimiliki@2018. Mkoa wa Shinyanga. Haki zote zimehifadhiwa