Thursday 13th, November 2025
@
Watanzania kote nchini Octoba 14, 2025 wanaadhimisha kumbukumbu ya miaka 26 tangu kufariki kwa Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, aliyefariki dunia Oktoba 14, 1999.
Mwalimu Nyerere anakumbukwa kwa mchango wake mkubwa katika kupigania uhuru wa Tanganyika mwaka 1961, kuunganisha Tanganyika na Zanzibar mwaka 1964, na misingi imara ya maadili ya taifa, umoja, amani, haki na maendeleo ya watu.
Kupitia uongozi wake wa falsafa ya Ujamaa na Kujitegemea, Mwalimu aliweka msingi wa huduma za jamii kama elimu, afya na miundombinu vijijā¦
Oktoba 14, 2025 tunamkumbuka kiongozi shupavu aliyeasisi misingi ya Umoja, Amani na Maendeleo ya Tanzania. Maono yake yanaendelea kuishi kupitia dira ya taifa letu.
OFISI YA MKUU WA MKOA, MKOA WA SHINYANGA, 04 MTAA WA BOMA
Anuani: P.O.Box 320, 37180,SHINYANGA, TANZANIA
Simu: +255 28 2762222
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: ras@shinyanga.go.tz
Hakimiliki@2018. Mkoa wa Shinyanga. Haki zote zimehifadhiwa