DODOMA
MKUU wa Wilaya ya Kahama Mhe. Mboni Mhita amekuwa miongoni mwa Wakuu wa Wilaya walioshirika katika Mkutano wa Tathimini ya Mkataba wa Lishe na Kutambulisha Mpango wa Taifa wa Uwekezaji katika Afya ya Mama na Mtoto (TIMCHIP) uliofanyika Jijini Dodoma.
Mkataba huu wa lishe amnao Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na Makamu wa Rais alimwagiza Mhe. Waziri wa OR - TAMISEMI asaini Mkataba na Wakuu wote wa Mikoa ipi kuimarisha usimamizi katika Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa ili kupunguza changamoto ya Lishe na athari zake.
Boma Street, Mwanza Road
Anuani: P.O.Box 320, Shinyanga
Simu: +255 28 2762222
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: ras@shinyanga.go.tz
Hakimiliki@2018. Mkoa wa Shinyanga. Haki zote zimehifadhiwa