• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
    • eVibali |
Shinyanga Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Shinyanga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili Yetu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
    • Idara
      • Utawala na Rasilimaliwatu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Maji
      • Afya
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ugavi na Manunuzi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Shinyanga
    • Wilaya ya Kahama
    • Wilaya ya Kishapu
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu
    • Halmashauri ya Mji wa Kahama
    • Halmashauri ya Wilaya ya Ushetu
    • Halmashauri ya Wilaya ya Msalala
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Madini
    • Bandari Kavu
  • Huduma
    • Kutoa Ushauri wa Kitaalam
    • Kutafsiri Sheria na Sera
    • Kuratibu Shughuli za Wadau
    • Ulinzi na Usalama
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Fomu
    • Tafiti
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Video
    • Maktaba ya Picha

DC MKUDE AZINDUA AWEKEJI ALAMA KULINDA VYANZO VYA MAJI - SONGWA

Posted on: November 13th, 2023

Na. Shinyanga RS.

MKUU wa Wilaya ya Kishapu Mhe. Joseph Mkude amezindua zoezi la uwekaji alama kwenye mipaka ya vyanzo vya maji katika Bwawa la Songwa na Mhumbu yaliyopo wilaya ya kishapu kwa lengo kuvilinda vyanzo vya maji na kuzuia shughuli za kibinadamu huku akiwasisizitiza wananchi waishio jirani na maeneo hayo kuendelea kupanda miti na kutunza mazingira.

Mhe. Mkude pamoja na mambo mengine lakini pia ametoa wito kwa wananchi wasifanye shughuli za kibinadamu kwenye mabwawa haya ikiwamo na kufanya shughuli za kilimo na uchimbaji madini, bali wavitunze vyanzo hivyo vya maji kwa faida yao na vizazi vijavyo.

“Natoa wito kwa wananchi vitunzeni vyanzo hivi vya maji msifanye kabisa shughuli za kibinadamu, na katika Mabwawa haya yamejengwa Matangi kwa ajili ya kunyweshea mifugo yatumieni na msiingize tena mifugo ndani ya maji,”amesema Mkude.

Awali akimkaribisha Mkuu wa Wilaya, Mhandisi wa Mazingira kutoka Bodi ya Maji Bonde la Kati Nyacheli Mramba, amesema wameweka alama hizi za mipaka na mabango ili kuzuia wananchi wasifanye shughuli za kibinadamu kwenye vyanzo hivyo ili kuvilinda visitoweke.

Katika hatua nyingine, amewataka wananchi wa Kishapu kuzitumia ipasavyo Mvua ambazo zinanyesha hivi sasa, kwa kupanda miti ili kuifanya Kishapu kuwa ya kijana.

Kwa upande wao wananchi wa Kata ya Songwa wamesema uwekaji huo wa alama za mipaka katika mabwawa haya utasaidia kuvilinda vyanzo hivyo vya maji ambavyo vilikuwa hatarini kutoweka, kutokana na shughuli za kibinadamu ikiwamo kilimo, uvuvi na uchimbaji madini na kuahidi kuwa watatekeleza maelekezo yote yaliyotolewa na viongozi.


Matangazo

  • No records found
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • KIKAO CHA MAPITIO YA ROBO MWAKA KWA KIPINDI CHA OKT - DES 2024 CHA (PJT MMMAM) CHAFANYIKA MKOANI SHINYANGA.

    February 28, 2025
  • RCC SHINYANGA YARIDHIA MAPENDEKEZO NANE (8) YA MATUMIZI BORA YA ARDHI.

    February 27, 2025
  • KUKAMILISHWA KWA MIRADI YA BARABARA KUTAPUNGUZA KERO KWA WANANCHI – RC MACHA

    February 26, 2025
  • WALIMU, TOENI ELIMU INAYOENDANA NA MABADILIKO YA TEKNOLOJIA -RC MACHA

    February 24, 2025
  • Angalia zote

Video

MIFUKO BANDIA ZAIDI YA ELFU 20 YAKAMATWA SHINYANGA
Video Nyinginezo

Viunganishi vya Haraka

  • Historia
  • Dira na Dhima
  • Hotuba Mbalimbali
  • Video Mbalimbali
  • Maswali yaulizwayo mara kwa mara
  • Picha za Matukio
  • Miongozo na kanuni

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Mfumo wa kutuma, kupokea na kufuatilia malalamiko, mapendekezo, maulizo na pongezi
  • Ofisi ya Rais Menejimenti ya utumishi wa Umma
  • Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Boma Street, Mwanza Road

    Anuani: P.O.Box 320, Shinyanga

    Simu: +255 28 2762222

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@shinyanga.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2018. Mkoa wa Shinyanga. Haki zote zimehifadhiwa