Na. Paul Kasembo, SHY RS.
Aliyekua Mrajis Msaidisi Mkoa Shinyanga Bi. Hilda Boniphace amekabidhi rasmi kwa Mrajis Msaidizi Mkoa wa Shinyanga ndg. Kakozi Ibrahim ambaye amehamia, na baadae alimtambulisha kwa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Anamringi Macha kisha kwa Katibu Tawala Mkoa wa Shinyanga Prof. Siza Tumbo.
Pamoja na mambo mengine, viongozi hawa wote kwa nyakati tofauti wamemkaribisha sana ndg. Kakozi Ibrahim katika Mkoa wa Shinyanga na kumtakia kila lenye kheri Bi. Hilda Boniphace katika kituo kipya cha kazi mkoani Mwanza.
Boma Street, Mwanza Road
Anuani: P.O.Box 320, Shinyanga
Simu: +255 28 2762222
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: ras@shinyanga.go.tz
Hakimiliki@2018. Mkoa wa Shinyanga. Haki zote zimehifadhiwa