Na. Paul Kasembo, SHY RS.
KAMISHINA wa Uchunguzi wa Kisayansi kutoka Makao Makuu ya Jeahi la Polisi Tanzania CP Shabani Hiki amefika Ofisini kwa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Anamringi Macha kwa lengo la kujitambulisha na kufanya mazungumzo ambapo pamoja na mambo mengine RC Macha amemueleza kuwa Mkoa wa Shinyanga ni salama kabisa.
Ujio wa Kamishina Hiki hapa Mkoa wa Shinyanga unalenga kuwajengea uwezo wa mambo mbalimbali ya kiutendaji wakiwemo Askari Polisi, wachunguzi, wapelelezi na madaktari.
OFISI YA MKUU WA MKOA, MKOA WA SHINYANGA, 04 MTAA WA BOMA
Anuani: P.O.Box 320, 37180,SHINYANGA, TANZANIA
Simu: +255 28 2762222
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: ras@shinyanga.go.tz
Hakimiliki@2018. Mkoa wa Shinyanga. Haki zote zimehifadhiwa