Na. Shinyanga RS.
Katibu Tawala Mkoa wa Shinyanga Prof. Siza D. Tumbo (kulia) akiagana na kumkaribisha tena Gerald Mwaitebele ambaye ni Katibu Msaidizi Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma Kanda ya Magharibi mara baada ya uapisho wa viongozi katika ofisi ya mkuu wa mkoa wa shinyanga tarehe 25 Oktoba, 2023.
OFISI YA MKUU WA MKOA, MKOA WA SHINYANGA, 04 MTAA WA BOMA
Anuani: P.O.Box 320, 37180,SHINYANGA, TANZANIA
Simu: +255 28 2762222
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: ras@shinyanga.go.tz
Hakimiliki@2018. Mkoa wa Shinyanga. Haki zote zimehifadhiwa