Meneja wa TBA Mkoa wa Shinyanga Arch. Godfrey Mwakabole (katikati) ameshiriki warsha (workshop) ya siku moja iliyoandaliwa na Chuo Kikuu cha Strathmore - Centre for Biodiversity Information Development (BID-C) cha nchini Kenya kwa udhamini wa Serikali ya Australia.
Warsha hiyo ilikuwa mahususi kwa Alumni wa Australia Awards walioko Tanzania kwa ajili ya kuwajengea uelewa na uwezo katika utendaji kazi wao huku wakiangazia mchango wa sekta wanazosimamia katika kuongeza na/au kupunguza athari za mabadiliko ya tabia nchi.
Boma Street, Mwanza Road
Anuani: P.O.Box 320, Shinyanga
Simu: +255 28 2762222
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: ras@shinyanga.go.tz
Hakimiliki@2018. Mkoa wa Shinyanga. Haki zote zimehifadhiwa