• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
    • eVibali |
Shinyanga Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Shinyanga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili Yetu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
    • Idara
      • Utawala na Rasilimaliwatu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Maji
      • Afya
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ugavi na Manunuzi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Shinyanga
    • Wilaya ya Kahama
    • Wilaya ya Kishapu
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu
    • Halmashauri ya Mji wa Kahama
    • Halmashauri ya Wilaya ya Ushetu
    • Halmashauri ya Wilaya ya Msalala
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Madini
    • Bandari Kavu
  • Huduma
    • Kutoa Ushauri wa Kitaalam
    • Kutafsiri Sheria na Sera
    • Kuratibu Shughuli za Wadau
    • Ulinzi na Usalama
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Fomu
    • Tafiti
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Video
    • Maktaba ya Picha

MHE. DKT. SAMIA AWASHIKA MKONO WAHANGA WA MVUA "DC SAMAIZI"

Posted on: November 8th, 2023

Na. Shinyanga RS

MKUU wa Wilaya ya Shinyanga Mhe. Johari Mussa Samizi leo tarehe 8 Novemba, 2023 amegawa vifaa mbalimbali ikiwemo Blangeti na Mahindi kwa wahanga wa mvua kubwa iliyopelekea kuezuliwa paa na baadhi kubomoka nyumba na kuathiri makazi yao kwa mvua kubwa iliyonyesha Oktoba 17, 2023 ambapo jumla ya Kaya 8 zilikosa kabisa makazi ya kuishi huku akimshukuru na kumpongeza sana Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuwajali na kuwathamini sana wananchi wake.

Akikabidhi mahitaji hayo katika Ofisi ya Mtendaji wa kata ya Chibe Mhe. Samizi alitanguliza pole kwa wahanga wote huku akitoa tahadhari ya kuwataka wajenge nyumba zenye uimara mara baada ya kipindi cha mvua kuisha ili kuepukana na maafa makubwa ya kukosa makazi ya kuishi wakati mwingine.

"Poleni sana ndugu zangu kwa maafa yaliyowapata, niseme tu kwamba  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan anawajali, anawathamini na anawatambua sana ndiyo maana leo nipo hapa kwa ajili ya kuwapatia vitu hivi ikiwemo blangeti kwa ajili ya kujikinga na baridi pamoja na mahindi ya chakula  lakini pia niwatake msimu wa mvua utakapopita tuboreshe nyumba zetu na tujenge nyumba zenye uimara" amesema Mhe. Samizi.

Mhe. Samizi alisema kuwa, Mhe. Rais kama mama, mama huwa anahakikisha watoto na jamii yake inapata hifadhi na chakula wakati wote, hivyo serikali ya awamu ya sita ya  Mhe Rais imewashika mkono wahanga wa mvua kwa chakula (mahindi) na mablanketi ambapo jumla ya tani 4.776 zimepokelewa huku Chibe wakipata tani 0.96 sawa na kilo 960.

Jumla ya blangeti 40 katika kaya 8 zenye watu 40 pamoja na mahindi tani moja (1) kwa jumla ya watu 40.


HABARI PICHA.


MHE. JOHARI SAMIZI KATIKA UGAWAJI WA MAHINDI NA BLANGETI KWA WAHANGA



Matangazo

  • No records found
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • WANUFAIKA WA MIKOPO YA 10% LIPENI KWA WAKATI ILI PIA VIKOPESHWE NA VIKUNDI VINGINE - RC MACHA

    February 13, 2025
  • CP. HAMDUNI AKUTANA NA KAMATI YA MICHEZO YA JWTZ

    February 13, 2025
  • WANANCHI, LIPENI KODI YA ARDHI KWA WAKATI MUEPUKE RIBA - LEO KOMBA

    February 12, 2025
  • WAJUMBE WA BODI, TUMIENI TAALUMA ZENU KUISAIDIA HOSPITALI KUKAMILISHA MIRADI YA UJENZI- RAS CP. HAMDUNI.

    February 11, 2025
  • Angalia zote

Video

MIFUKO BANDIA ZAIDI YA ELFU 20 YAKAMATWA SHINYANGA
Video Nyinginezo

Viunganishi vya Haraka

  • Historia
  • Dira na Dhima
  • Hotuba Mbalimbali
  • Video Mbalimbali
  • Maswali yaulizwayo mara kwa mara
  • Picha za Matukio
  • Miongozo na kanuni

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Mfumo wa kutuma, kupokea na kufuatilia malalamiko, mapendekezo, maulizo na pongezi
  • Ofisi ya Rais Menejimenti ya utumishi wa Umma
  • Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Boma Street, Mwanza Road

    Anuani: P.O.Box 320, Shinyanga

    Simu: +255 28 2762222

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@shinyanga.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2018. Mkoa wa Shinyanga. Haki zote zimehifadhiwa