Na. Paul Kasembo SHY MC
Mwenge wa uhuru umewasili Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga ukitokea Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu leo Agosti 11, 2024.
Mwenge wa Uhuru ukiwa Manispaa ya Shinyanga utakimbizwa umbali wa kilometa 74.5 ambapo jumla ya miradi kumi (10) itakaguliwa, kuwekewa mawe ya msingi pamoja na kuzinduliwa yenge jumla ya gharama bilioni 4.2
Boma Street, Mwanza Road
Anuani: P.O.Box 320, Shinyanga
Simu: +255 28 2762222
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: ras@shinyanga.go.tz
Hakimiliki@2018. Mkoa wa Shinyanga. Haki zote zimehifadhiwa