Na. Paul Kasembo, SHY RS.
MWENYEKITI wa Chama NRA Mkoa wa Shinyanga ndg. Chief Abdallah Sube amempongeza sana Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga Mhe. Julius Mtatiro (Wakili) kwa kazi anazozifanya ikiwemo ya kuimarisha hali ya usalama katika Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga ambapo amesema hivi hali imetengemaa tofauti na awali ilivyokuwa kiusalama.
Chief Sube ameyasema haya leo wakati akichangia hoja kwenye kikao cha wadau kilichokuwa kinajadili matumizi ya ardhi Mkoa wa Shinyanga katika ukumbi wa mikutano uliopo ofisi ya Mkuu w Mkoa wa Shinyanga huku akisisitiza umuhimu wa kurejeshwa kwa maeneo ya wazi ambayo kwa namna moja au nyingine yametumika vinginevyo.
Boma Street, Mwanza Road
Anuani: P.O.Box 320, Shinyanga
Simu: +255 28 2762222
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: ras@shinyanga.go.tz
Hakimiliki@2018. Mkoa wa Shinyanga. Haki zote zimehifadhiwa