• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
    • eVibali |
Shinyanga Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Shinyanga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili Yetu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
    • Idara
      • Utawala na Rasilimaliwatu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Maji
      • Afya
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ugavi na Manunuzi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Shinyanga
    • Wilaya ya Kahama
    • Wilaya ya Kishapu
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu
    • Halmashauri ya Mji wa Kahama
    • Halmashauri ya Wilaya ya Ushetu
    • Halmashauri ya Wilaya ya Msalala
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Madini
    • Bandari Kavu
  • Huduma
    • Kutoa Ushauri wa Kitaalam
    • Kutafsiri Sheria na Sera
    • Kuratibu Shughuli za Wadau
    • Ulinzi na Usalama
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Fomu
    • Tafiti
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Video
    • Maktaba ya Picha

NAWAPONGEZA SANA TANROADS KWA KUANZISHA MATUMIZI YA LUGHA YA KISWAHILI KWENYE BANGO ZA MIRADI YA MAENDELEO

Posted on: September 23rd, 2024

Na. Paul Kasembo, SHY RS.

MKUU wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Anamringi Macha amezindua Bango jipya linaloelezea utekelezaji wa mradi wa barabara ya Kahama hadi Kakola ambalo limeandikwa kwa lugha ya kiswahili ikiwa ni utekelezaji wa ushauri wake wa kuanza kutumia lugha ya kiswahili  katika bango zote za miradi ndani ya Mkoa wa Shinyanga kwakuwa miradi yote ni ya wananchi ambao kimsingi wanapaswa kuelewa nini kimeandikwa na nini kinatekelezwa na Serikali katika maeneo yao huku akiipongeza sana TANROADS Mkoa wa Shinyanga kwa kazi hii.

RC Macha ameyasema haya leo tarehe 23 Septemba, alipokuwa akifungua bango hili ambalo limetayarishwa na kuwekwa na Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) Mkoa wa Shinyanga kwenye mradi wa ujenzi wa Kilometa 73 Kakola, Bulyanhulu hadi Kahama kwa kiwango cha Lami itakayogharimu zaidi ya Bilioni 101 na itakayotumia miezi 27 kukamilika kwake.

"Nawapongeza sana TANROADS Mkoa wa Shinyanga chini ya Mha. Joel Mwambungu kwa kuwa wa kwanza kutekeleza ushauri wangu wa kuanza kutumia lugha ya kiswahili katika bango zote zinazoelezea miradi inayotekelezwa kwa wananchi ndani ya Mkoa wa Shinyanga, hongera sana Meneja Mha. Joel," amesema RC Macha.

Kuanza kutumika kwa lugha ya kiswahili katika bango zinazoelezea utekelezaji wa miradi ya maendeleo ikiwa ni utekelezaji wa ushauri wa RC Macha wa kukienzi, kukitunza na kudumisha matumizi ya lugha ya kiswahili katika maeneo yote hasa kwa bango za miradi ya maendeleo kwa wananchi wetu ambao ni wengi zaidi na ambao ndiyo wenye miradi hii na ambayo ni utekelezaji wa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Serikali inayoongozwa na  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Matangazo

  • No records found
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • KIKAO CHA MAPITIO YA ROBO MWAKA KWA KIPINDI CHA OKT - DES 2024 CHA (PJT MMMAM) CHAFANYIKA MKOANI SHINYANGA.

    February 28, 2025
  • RCC SHINYANGA YARIDHIA MAPENDEKEZO NANE (8) YA MATUMIZI BORA YA ARDHI.

    February 27, 2025
  • KUKAMILISHWA KWA MIRADI YA BARABARA KUTAPUNGUZA KERO KWA WANANCHI – RC MACHA

    February 26, 2025
  • WALIMU, TOENI ELIMU INAYOENDANA NA MABADILIKO YA TEKNOLOJIA -RC MACHA

    February 24, 2025
  • Angalia zote

Video

MIFUKO BANDIA ZAIDI YA ELFU 20 YAKAMATWA SHINYANGA
Video Nyinginezo

Viunganishi vya Haraka

  • Historia
  • Dira na Dhima
  • Hotuba Mbalimbali
  • Video Mbalimbali
  • Maswali yaulizwayo mara kwa mara
  • Picha za Matukio
  • Miongozo na kanuni

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Mfumo wa kutuma, kupokea na kufuatilia malalamiko, mapendekezo, maulizo na pongezi
  • Ofisi ya Rais Menejimenti ya utumishi wa Umma
  • Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Boma Street, Mwanza Road

    Anuani: P.O.Box 320, Shinyanga

    Simu: +255 28 2762222

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@shinyanga.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2018. Mkoa wa Shinyanga. Haki zote zimehifadhiwa