• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
    • eVibali |
Shinyanga Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Shinyanga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili Yetu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
    • Idara
      • Utawala na Rasilimaliwatu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Maji
      • Afya
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ugavi na Manunuzi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Shinyanga
    • Wilaya ya Kahama
    • Wilaya ya Kishapu
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu
    • Halmashauri ya Mji wa Kahama
    • Halmashauri ya Wilaya ya Ushetu
    • Halmashauri ya Wilaya ya Msalala
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Madini
    • Bandari Kavu
  • Huduma
    • Kutoa Ushauri wa Kitaalam
    • Kutafsiri Sheria na Sera
    • Kuratibu Shughuli za Wadau
    • Ulinzi na Usalama
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Fomu
    • Tafiti
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Video
    • Maktaba ya Picha

NAZIELEKEZA HALMASHAURI ZOTE SITA MKOANI SHINYANGA, KUTOA FEDHA ZA LISHE KWA WAKATI - RAS CP. HAMDUNI.

Posted on: December 19th, 2024

Na. Paul Kasembo, SHY RS

.KATIBU Tawala Mkoa wa Shinyanga CP. Salum Hamduni amezielekeza Halmashaufi zote 6 za Mkoa wa Shinyanga kupitia Waganga Wakuu kuhakikisha kuwa fedha zote za utekelezaji wa shughuli za lishe zilizotengwa zinatolewa kwa wakati na kuendelea kusimamia utekelezaji wa mkataba wa lishe ikiwemo utoaji wa chakula shuleni.

RAS CP. Hamduni ameyasema haya leo terehe 19 Desemba, 2024 alipokuwa akifungua warsha ya kuboresha huduma za lishe kwa mama na mtoto mkoani Shinyanga ambayo imejumuisha wadau mbalimbali kutoka Wizara ya TAMISEMI, Afya,  Mkoa wa Shinyanga na Tabora huku akiwaahidi washiriki kuwa Serikali itaendelea kuunga mkono juhudi za wadau katika kuinua hali ya lishe hapa Shinyanga na kuimarisha afua za afya na uzazi.

"Nitumie nafasi hii kuzielekeza Halmashauri zote 6 za Mkoa wa Shinyanga kupitia Waganga Wakuu kuhakikisha kuwa fedha zote za utekelezaji wa shughuli za lishe zilizotengwa zinatolewa kwa wakati na kuendelea kusimamia utekelezaji wa mkataba wa lishe ikiwemo utoaji wa chakula shuleni,"amesema RAS CP. Hamduni.

Awali akitoa taswira ya warsha hii ndg. Yassin Ally ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Kivulini amesema kuwa wamekutana hapa na wadau wa lishe kwa mama na mtoto hapa Shinyanga ili kujadili mikakati ya kuboresha huduma hizo na kuangalia fursa za rasilimali zilizopo ili ziweze kutumika ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa mkataba uliowekwa kati ya Serikali na Wakuu wa Mikoa wote.

Pia kuangazia fursa zinazopatikana katika Mkoa huu na namna bora ya kuzitumia ili zilete matokeo chanya na makubwa zaidi kama Serikali inavyotarajia kwa kufuata Sera na Miongozo ya Wizara ya TAMISEMI na Afya.

Takwimu za lishe Shinyanga zinaonesha kuwa Udumavu kwa watoto chini ya miaka 5 umepungua kutoka asiliamia 32.1 hadi 27.5 ukondefu kutoka asilimia 4.3 hadi 1.3 na hii inaonesha kuwa juhudi zetu za kupambana na utapiamlo zinaleta matunda ijapokuwa kiwango cha udumavu bado ni kikubwa na hivyo muhimu kuendelea kusimamia utekelezaji wa afua ya lishe mkataba watika maeneo yetu.



Matangazo

  • No records found
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • KIKAO CHA MAPITIO YA ROBO MWAKA KWA KIPINDI CHA OKT - DES 2024 CHA (PJT MMMAM) CHAFANYIKA MKOANI SHINYANGA.

    February 28, 2025
  • RCC SHINYANGA YARIDHIA MAPENDEKEZO NANE (8) YA MATUMIZI BORA YA ARDHI.

    February 27, 2025
  • KUKAMILISHWA KWA MIRADI YA BARABARA KUTAPUNGUZA KERO KWA WANANCHI – RC MACHA

    February 26, 2025
  • WALIMU, TOENI ELIMU INAYOENDANA NA MABADILIKO YA TEKNOLOJIA -RC MACHA

    February 24, 2025
  • Angalia zote

Video

MIFUKO BANDIA ZAIDI YA ELFU 20 YAKAMATWA SHINYANGA
Video Nyinginezo

Viunganishi vya Haraka

  • Historia
  • Dira na Dhima
  • Hotuba Mbalimbali
  • Video Mbalimbali
  • Maswali yaulizwayo mara kwa mara
  • Picha za Matukio
  • Miongozo na kanuni

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Mfumo wa kutuma, kupokea na kufuatilia malalamiko, mapendekezo, maulizo na pongezi
  • Ofisi ya Rais Menejimenti ya utumishi wa Umma
  • Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Boma Street, Mwanza Road

    Anuani: P.O.Box 320, Shinyanga

    Simu: +255 28 2762222

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@shinyanga.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2018. Mkoa wa Shinyanga. Haki zote zimehifadhiwa