• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
    • eVibali |
Shinyanga Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Shinyanga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili Yetu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
    • Idara
      • Utawala na Rasilimaliwatu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Maji
      • Afya
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ugavi na Manunuzi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Shinyanga
    • Wilaya ya Kahama
    • Wilaya ya Kishapu
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu
    • Halmashauri ya Mji wa Kahama
    • Halmashauri ya Wilaya ya Ushetu
    • Halmashauri ya Wilaya ya Msalala
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Madini
    • Bandari Kavu
  • Huduma
    • Kutoa Ushauri wa Kitaalam
    • Kutafsiri Sheria na Sera
    • Kuratibu Shughuli za Wadau
    • Ulinzi na Usalama
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Fomu
    • Tafiti
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Video
    • Maktaba ya Picha

NDALICHAKO AFUNGA MAFUNZO YA AWALI YA UALIMU NA UAMUZI WA MPIRA WA MIKONO

Posted on: August 4th, 2024

Na. Paul Kasembo, SHY RS.

Katibu Tawala Msaidizi, Elimu na Mafunzo ya Ufundi Mkoa wa Shinyanga Mwl. Dafroza Ndalichako amefunga mafunzo ya awali ya ualimu na uamuzi wa mpira wa mikono huku akiwataka wahitimu kwenda  kuwa chachu katika kuibua vipaji vya wanafunzi katika shule za msingi na sekondari,katika kuendeleza suala zima la michezo  kwani sekta hii kwa sasa imekuwa ikizalisha ajira nyingi.

Ndalichako ameyasema wakati akifunga mafunzo ya awali ya waamuzi na walimu wa  mpira wa mikono na marekebisho ya sharia za mpira wa mikono (HANDBALL) kwa  shule za msingi na sekondari hapa katika shule ya sekondari Uhuru yenye lengo la kujifunza mabadiliko ya sheria ya mchezo huo yaliyofanyika  tarehe 21 March 2024.

"Pamoja na kuwapongeza sana kwa kuhitimu mafunzo haya, lakini niwatake sasa kwenda kuwa chachu kubwa sana katika kuibua vipaji vya aanafunzi mashuleni kwenu ili tuweze kuwa na vijaba weye uwezo mkubwa katika mchezo huu ukizingatia kuwa kwa sasa michezo ni ajira kubwa sana," amesema Dafroza.

Kwa upande wake mkufunzi wa mafunzo haya kutoka Chama cha Mpira wa Mikono Taifa ambaye pia ni  Mwenyekiti wa Kamisheni ya Ufundi Tanzania ndg. Emmanuel Majura amewaasa walimu waliopatiwa mafunzo haya kwenda kuyafanyia kazi kwa kuwafundisha wanafunzi katika vituo vyao vya kazi ili rasimali fedha iliyogharimia mafunzo haya iwe na tija kwa kuonekana kwa vitendo zaidi.

Awali akielezea matarajio ya baadae yatakayotokana na mafunzo haya Afisa Maendeleo ya Michezo Mkoa wa Shianyanga Bi. Jesca Simchile amesema ni kutengeneza timu za Mkoa wa Shinyanga zitakazocheza kwa weledi kuanzia ngazi ya Mkoa mpaka Taifa na kupelekea kupata wachezaji bora watakaoshiriki katika michuano ya mchezo huo kwa ngazi ya Afrika mashariki mwaka 2025.

Kando na viongozi hawa, walimu waliopatiwa mafunzo haya wametoa salamu za shukrani zaidi  Chama cha Mpira wa Mikono katika Mkoa wa Shinyanga kwa kufanikisha upatikanaji wa elimu hii ,kwani itakwenda kuamsha ari ya michezo huu katika maeneo yao  kwani wamepata mwanga wa kuendesha michezo kitaalam zaidi tofauti na awali ambapo  hawakufahamu vema.

Matangazo

  • No records found
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • ENDELEENI KUTOA ELIMU ZAIDI KUHUSU AFYA YA AKILI - DC. MBONI

    May 30, 2025
  • TAKUKURU SHINYANGA YAANZA KUCHUKUA HATUA DHIDI YA UBADHIRIFU WA SHILINGI MILIONI 92 ZA WAKULIMA WA TUMBAKU WA USHETU - DONASIAN.

    May 27, 2025
  • MAISHA BAADA YA KUSTAAFU YANAHITAJI UTULIVU - DC. MTATIRO

    May 26, 2025
  • MAFUNZO YA IPOSA NI MKOMBOZI KWA VIJANA WALIO WENGI WANAOKOSA FURSA YA ELIMU YA KAWAIDA - RC. MACHA

    May 23, 2025
  • Angalia zote

Video

MIFUKO BANDIA ZAIDI YA ELFU 20 YAKAMATWA SHINYANGA
Video Nyinginezo

Viunganishi vya Haraka

  • Historia
  • Dira na Dhima
  • Hotuba Mbalimbali
  • Video Mbalimbali
  • Maswali yaulizwayo mara kwa mara
  • Picha za Matukio
  • Miongozo na kanuni

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Mfumo wa kutuma, kupokea na kufuatilia malalamiko, mapendekezo, maulizo na pongezi
  • Ofisi ya Rais Menejimenti ya utumishi wa Umma
  • Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Boma Street, Mwanza Road

    Anuani: P.O.Box 320, Shinyanga

    Simu: +255 28 2762222

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@shinyanga.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2018. Mkoa wa Shinyanga. Haki zote zimehifadhiwa