Na. Paul Kasembo, SHY RS.
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) bara Ndg. Stephen Wasira amemkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Anamringi kero zilizowasilishwa na baadhi ya wananchi juu ya ubovu wa barabara ya Ndala -Mwawaza na ujenzi wa Soko Kuu la Manispaa ya Shinyanga na kumsihi afuatilie na kushughulikia changamoto hizo ili kupunguza adha wanazokutana nazo wananchi.
Kwa upande wake RC Macha amepokea changamoto hizo na kuahidi kuzishughulikia na kuzipatia ufumbuzi ili wananchi waondokane nazo na kuendelea kufurahia matunda ya Serikali yao.
Boma Street, Mwanza Road
Anuani: P.O.Box 320, Shinyanga
Simu: +255 28 2762222
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: ras@shinyanga.go.tz
Hakimiliki@2018. Mkoa wa Shinyanga. Haki zote zimehifadhiwa