Na. Paul Kasembo, SHY RS.
MKUU wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Anamringi Macha, amejumuika na wananchi waliojitokeza kusikiliza na kutazama Hotuba ya Mhe. Rais Dkt. .Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ikiwa ni sehemu ya kuazimisha miaka 60 ya Muungano wa Tanzania hafla iliyofanyika katika viwanja vya Zimamoto Manispaa ya Shinyanga ambapo pamoja na mambo mengine amewataka wananchi kuenzi Muungano kwa kutanguliza uzalendo, kulinda amani yetu na kufanyakazi kwa bidii ili kujiletea maendeleo.
HABARI PICHA
Boma Street, Mwanza Road
Anuani: P.O.Box 320, Shinyanga
Simu: +255 28 2762222
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: ras@shinyanga.go.tz
Hakimiliki@2018. Mkoa wa Shinyanga. Haki zote zimehifadhiwa