Na. Paul Kasembo, SHY RS.
MKUU wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Anamringi Macha amekutana na viongozi wa Shirikisho la Vyama vya Watu wenye Ulemavu Mkoa wa Shinyanga (SHIVYWATA) ambapo pamoja na kujitambulisha kwake lakini pia wamebainisha shukrani zao kwake na ofisi yake kuwa wamepatiwa ofisi katika Wilaya zote za Mkoa jambo ambalo katika Mikoa mingjne hawajatekelezewa hivyo.
SHIVYWATA inaundwa na Chama cha Wasioona, Chama cha Viziwi, Chama cha Watu wenye Ulemavu wa Viungo, Chama cha Watu wenye Ualbino na Chama cha Watu wenye Mtindio wa Ubungo.
Boma Street, Mwanza Road
Anuani: P.O.Box 320, Shinyanga
Simu: +255 28 2762222
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: ras@shinyanga.go.tz
Hakimiliki@2018. Mkoa wa Shinyanga. Haki zote zimehifadhiwa