• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
    • eVibali |
Shinyanga Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Shinyanga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili Yetu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
    • Idara
      • Utawala na Rasilimaliwatu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Maji
      • Afya
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ugavi na Manunuzi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Shinyanga
    • Wilaya ya Kahama
    • Wilaya ya Kishapu
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu
    • Halmashauri ya Mji wa Kahama
    • Halmashauri ya Wilaya ya Ushetu
    • Halmashauri ya Wilaya ya Msalala
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Madini
    • Bandari Kavu
  • Huduma
    • Kutoa Ushauri wa Kitaalam
    • Kutafsiri Sheria na Sera
    • Kuratibu Shughuli za Wadau
    • Ulinzi na Usalama
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Fomu
    • Tafiti
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Video
    • Maktaba ya Picha

RC MACHA ALITAKA JESHI LA JADI SUNGUSUNGU KUFUATA SHERIA KANUNI NA TARATIBU ZA NCHI KATIKA UTEKELEZAJI WA MAJUKUMU YAKE

Posted on: September 28th, 2024

Na. Paul Kasembo, USANDA.

MKUU wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Anamringi Macha amelitaka Jeshi la Jadi Sungusungu Wasalama kuzingatia Sheria, Kanuni na Taratibu za Nchi wanapokuwa wanatekeleza majukumu katika maeneo yao huku akisisitiza kuacha kabisa tabia ya kuwa wanawatenga wenzao ikiwa ni sehemu ya moja kati ya adhabu zao.

RC Macha akiwa ameongozana na Katibu Tawala Mkoa wa Shinyanga CP. Salum Hamduni ameyasema haya leo tarehe 28 Septemba, 2024 katika kusanyiko lao linalokadiriwa kufikia watu 1000 ambalo limefanyika Kijiji cha Manyanda, Kata ya Usanda, Tarafa ya Samuye katika Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga ambapo pamoja na mambo mengine amewataka sungusungu kuwa sehemu ya kupambana na kukemea aina yoyote ya ukatili miongoni mwa jamii yetuna kuzuia mmomonyoko wa maadili kwa vijana wetu.

"Niwatake Jeshi la Jadi Sungusungu Wasalama mhakikishe kuwa mnatekeleza wajibu na majukumu yenu ya kila siku kwa kuzingatia Sheria, Kanuni na Taratibu za nchi, lakini acheni kabisa tabia ya kuwatenga wananchi ikiwa kama sehemu ya achabu zenu kwao na pia muwe sehemu ya wanaopambana na mmomonyoko wa maadili kwa vijana na kuzuia kwa nguvu zote aina yoyote ya ukatili mwiongoni mwetu," amesema RC Macha.

Aidha amesisitiza pia umuhimu wa kila sungusungu kando la kazi hii lakini kuwa na shughuli nyingine ya uzalishaji mali kwa kila mmoja, na kwamba kuna taratibu zitafanywa ili kujua idadi halisi ya vijana na shughuli zao ili iwe rahisi namna ya kukwamuana.

Naye mwakilishi kutoka Ofisi ya Rais Balozi Rajabu Omary ambaye pia Mshauri wa Rais katika masuala ya Siasa na Jamii amesema kuwa Mhe. Rais anatambua na kuthamini uwepo wa sungusungu na ndiyo maana katika utawala wake amerejesha kundi hili katika jamii, huku Mwenyekiti wa Makundi ya Kijamii Tanzania ndg. Idi Ame akiisema kuwa upo mpango wa kuanzisha mashindano ya sungusungu katila ngazi ya Kata, Wilaya na Mkoa ili kupata mshindi ambaye atapewa zawadi kubwa lengo ni kuimarisha Jeshi la Jadi Sungusungu kuendelea kujiunga vijana na kulinda raia na mali zao.

Matangazo

  • No records found
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • KIKAO CHA MAPITIO YA ROBO MWAKA KWA KIPINDI CHA OKT - DES 2024 CHA (PJT MMMAM) CHAFANYIKA MKOANI SHINYANGA.

    February 28, 2025
  • RCC SHINYANGA YARIDHIA MAPENDEKEZO NANE (8) YA MATUMIZI BORA YA ARDHI.

    February 27, 2025
  • KUKAMILISHWA KWA MIRADI YA BARABARA KUTAPUNGUZA KERO KWA WANANCHI – RC MACHA

    February 26, 2025
  • WALIMU, TOENI ELIMU INAYOENDANA NA MABADILIKO YA TEKNOLOJIA -RC MACHA

    February 24, 2025
  • Angalia zote

Video

MIFUKO BANDIA ZAIDI YA ELFU 20 YAKAMATWA SHINYANGA
Video Nyinginezo

Viunganishi vya Haraka

  • Historia
  • Dira na Dhima
  • Hotuba Mbalimbali
  • Video Mbalimbali
  • Maswali yaulizwayo mara kwa mara
  • Picha za Matukio
  • Miongozo na kanuni

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Mfumo wa kutuma, kupokea na kufuatilia malalamiko, mapendekezo, maulizo na pongezi
  • Ofisi ya Rais Menejimenti ya utumishi wa Umma
  • Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Boma Street, Mwanza Road

    Anuani: P.O.Box 320, Shinyanga

    Simu: +255 28 2762222

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@shinyanga.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2018. Mkoa wa Shinyanga. Haki zote zimehifadhiwa