DODOMA
MKUU wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Anamringi Macha amekuwa miongoni mwa Wakuu wa Mikoa walioshirika katika Mkutano wa Tathimini ya Mkataba wa Lishe na Kutambulisha Mpango wa Taifa wa Uwekezaji katika Afya ya Mama na Mtoto (TIMCHIP) uliofanyika Jijini Dodoma.
Mkataba huu wa lishe ambao Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na Makamu wa Rais alimwagiza Mhe. Waziri wa OR - TAMISEMI asaini Mkataba na Wakuu wote wa Mikoa ipi kuimarisha usimamizi katika Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa ili kupunguza changamoto ya Lishe na athari zake.
@ortamisemi
@wizara_afyatz
@mboni_mhita
@mkude458
#shinyanga_rs
Boma Street, Mwanza Road
Anuani: P.O.Box 320, Shinyanga
Simu: +255 28 2762222
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: ras@shinyanga.go.tz
Hakimiliki@2018. Mkoa wa Shinyanga. Haki zote zimehifadhiwa