Na. Shinyanga RS.
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Christina Mndeme amemtaka Mrajisi Msaadizi wa Vyama vya Ushirika Mkoa wa Shinyanga Bi. Hilda Boniphace kumletea taarifa ya hali halisi ya maandalizi ya kilimo cha zao la Tumbaku kwa msimu ujao wa mwaka 2023/2024.
Mhe. Mndeme ameyasema hayo Ofisini kwake alipokutana na Kamati ya Usalama Mkoa, Mrajisi Mkoa pamoja na viongozi wa Bodi ya Chama Cha Ushirika Kahama (KACU) kuhakikisha kuwa AMCOS zake zinarejesha fedha wanazodaiwa na Taasisi za fedha (Benki) kwa wakati.
Picha ikimuonesha Mrajisi Msaidizi wa Vyama vya Ushirika Mkoa wa Shinyanga Bi. Hilda Bonophace (wa kwana kushoto) akielezea jambo mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga (hayupo pichani) na wajumbe wengine.
Baadhi ya wajumbe wakionekana katika picha wakati wa kikao hicho.
Boma Street, Mwanza Road
Anuani: P.O.Box 320, Shinyanga
Simu: +255 28 2762222
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: ras@shinyanga.go.tz
Hakimiliki@2018. Mkoa wa Shinyanga. Haki zote zimehifadhiwa