• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
    • eVibali |
Shinyanga Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Shinyanga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili Yetu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
    • Idara
      • Utawala na Rasilimaliwatu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Maji
      • Afya
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ugavi na Manunuzi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Shinyanga
    • Wilaya ya Kahama
    • Wilaya ya Kishapu
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu
    • Halmashauri ya Mji wa Kahama
    • Halmashauri ya Wilaya ya Ushetu
    • Halmashauri ya Wilaya ya Msalala
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Madini
    • Bandari Kavu
  • Huduma
    • Kutoa Ushauri wa Kitaalam
    • Kutafsiri Sheria na Sera
    • Kuratibu Shughuli za Wadau
    • Ulinzi na Usalama
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Fomu
    • Tafiti
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Video
    • Maktaba ya Picha

RCC SHINYANGA YARIDHIA MAPENDEKEZO NANE (8) YA MATUMIZI BORA YA ARDHI.

Posted on: February 27th, 2025

Na. Paul Kasembo, SHY RS.

KAMATI ya Ushauri ya Mkoa wa Shinyanga (RCC) ikiongozwa na Mwenyekiti wake Mhe. Anamringi Macha ambaye pia ni Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga kwa kauli moja imeridhia mapendekezo 8 juu ya matumizi bora ya ardhi yenye lengo la kuwezesha ufikaji katika maeneo mbalimbali ya uzalishaji ndani na nje ya mkoa.

Mapendekezo yaliyoridhiwa na RCC ni pamoja na kuboresha miundombinu ya mtandao wa barabara ili kurahisisha usafiri na usafirishaji wa watu, bidhaa na huduma, kujenga miundombinu ya kilimo cha umwagiliaji itakayosaidia ongezeko la mazao ya kilimo na viwanda vya usindikaji, kuboresha na kuwezesha miundombinu ya taaluma ambayo itasaidia upatikanaji wa Taasisi za Elimu ya juu pia kupanga, kupima na kumilikisha ardhi katika maeneo ya Miji na Vijiji.

Mapendekezo mengine ni urejeshaji wa ardhi iliyoharibika na uhifadhi wa mazingira ambao utapunguza athari zinazotokana na mabadiliko ya tabia nchi, kujenga na kuboresha upatikanaji wa miundombinu ya afya itakayoimarisha upatikanaji wa huduma za afya kirahisi, kujenga viwanda vya kuchakata na kusindika mazao ya kilimo na mifugo itakayokuza uchumi na kuongezeka kwa kipato, sambamba na kujenga miundombinu ya kuchakata madini ambayo itaongeza kipato cha wananchi na Taifa kwa ujumla.

Akiwasilisha mapendekezo hayo Jonas Masanja kwa niaba ya Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Taifa ya Mipango ya Matumizi ya Ardhi ndg.Joseph Mafuru alisema kuwa kupitisha taarifa hii kwenye RCC ni utekelezaji wa matakwa ya kisheria kabla ya kumfikishia Waziri mwenye dhamana na iweze kuingia kwenye bajeti kwa mwaka wa fedha 2025/2026.

Kuridhiwa kwa mapendekezo hayo kunakwenda sanjari na kuufanya Mkoa wa Shinyanga kuwa Kituo cha Usindikaji wa Mazao ya Kilimo na Kitovu cha Madini Tanzania vitu ambavyo vinatajwa kuwa chechemuzi katika uchumi wa wananchi, kuboresha maisha yao na kuongeza pato la Taifa.


Matangazo

  • No records found
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • KIKAO CHA MAPITIO YA ROBO MWAKA KWA KIPINDI CHA OKT - DES 2024 CHA (PJT MMMAM) CHAFANYIKA MKOANI SHINYANGA.

    February 28, 2025
  • RCC SHINYANGA YARIDHIA MAPENDEKEZO NANE (8) YA MATUMIZI BORA YA ARDHI.

    February 27, 2025
  • KUKAMILISHWA KWA MIRADI YA BARABARA KUTAPUNGUZA KERO KWA WANANCHI – RC MACHA

    February 26, 2025
  • WALIMU, TOENI ELIMU INAYOENDANA NA MABADILIKO YA TEKNOLOJIA -RC MACHA

    February 24, 2025
  • Angalia zote

Video

MIFUKO BANDIA ZAIDI YA ELFU 20 YAKAMATWA SHINYANGA
Video Nyinginezo

Viunganishi vya Haraka

  • Historia
  • Dira na Dhima
  • Hotuba Mbalimbali
  • Video Mbalimbali
  • Maswali yaulizwayo mara kwa mara
  • Picha za Matukio
  • Miongozo na kanuni

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Mfumo wa kutuma, kupokea na kufuatilia malalamiko, mapendekezo, maulizo na pongezi
  • Ofisi ya Rais Menejimenti ya utumishi wa Umma
  • Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Boma Street, Mwanza Road

    Anuani: P.O.Box 320, Shinyanga

    Simu: +255 28 2762222

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@shinyanga.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2018. Mkoa wa Shinyanga. Haki zote zimehifadhiwa