• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
    • eVibali |
Shinyanga Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Shinyanga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili Yetu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
    • Idara
      • Utawala na Rasilimaliwatu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Maji
      • Afya
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ugavi na Manunuzi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Shinyanga
    • Wilaya ya Kahama
    • Wilaya ya Kishapu
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu
    • Halmashauri ya Mji wa Kahama
    • Halmashauri ya Wilaya ya Ushetu
    • Halmashauri ya Wilaya ya Msalala
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Madini
    • Bandari Kavu
  • Huduma
    • Kutoa Ushauri wa Kitaalam
    • Kutafsiri Sheria na Sera
    • Kuratibu Shughuli za Wadau
    • Ulinzi na Usalama
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Fomu
    • Tafiti
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Video
    • Maktaba ya Picha

SERIKALI ITAENDELEA KUTAMBUA, KUHESHIMU NA KUTHAMINI MCHANGO WA KANISA KATORIKI

Posted on: December 9th, 2023

MKUU wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Christina S. Mndeme amesema kuwa serikali itaendelea kutambua, kuheshimu na kuthamini mchango wa Kanisa Katoriki.

Hayo yamesemwa leo tarehe 9 Desemba, 2023 wakati aliposhiriki hafla ya Kutabaruku Kanisa la Mtakatifu Paul wa pili Parokia ya Lubaga Jimbo Kuu Katoriki Shinyanga hafla iliyoongozwa na Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Dar es salaam Mwadhama Paolycarp Kardinali Pwngo.

RC Mndeme amesema kuwa, tunapoadhimisha miaka 62 ya Uhuru wa Tanganyika, nchi imeweza kupiga hatua kubwa sana katika kuwatumikia wananchi wake hasa katika utekelezaji wa miradi ya maendeleo na matokeo yake yanaonekana chini ya uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan.

"Serikali itaendelea kutambua, kuheshimu na kuthamini mchango wa kanisa katoriki, na kwa kuzingatia kuwa nchi leo inaadhimisha miaka 62 ya Uhuru na maendeleo makubwa yanaoneka chini ya uongozi wa Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan", alisema RC Mndeme.

Kwa upande wake Mwadhama Kardinaly Pengo alisema kuwa, uzuri na upya wa kanisa hili halitakuwa na yoyote iwapo waumini wake hawataishi katika matendo ya upendo katika mioyo yao na maisha ya kumpendeza Mwenyezi Mungu na akawataka wananchi kuja kanisani hapa kwa ajili ya kuomba msamaha na ndiyo sehemu pekee ambayo unaweza kuomba msamaha kwa mungu.

Kando na hafla hii, pia RC Mndeme amewa nafasi kufungua rasmi matumizi ya Kitabu cha Ibada ambacho kina mafundisho mbalimbali, sala, novena na nyimbo ambazo zitamuwezesha muumini kusali na kuelewa kwa urahisi zaidi.


Picha zikimuonesha RC MNDEME na baadhi ya viongozi wakiwa katika sherehe



Matangazo

  • No records found
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • KIKAO CHA MAPITIO YA ROBO MWAKA KWA KIPINDI CHA OKT - DES 2024 CHA (PJT MMMAM) CHAFANYIKA MKOANI SHINYANGA.

    February 28, 2025
  • RCC SHINYANGA YARIDHIA MAPENDEKEZO NANE (8) YA MATUMIZI BORA YA ARDHI.

    February 27, 2025
  • KUKAMILISHWA KWA MIRADI YA BARABARA KUTAPUNGUZA KERO KWA WANANCHI – RC MACHA

    February 26, 2025
  • WALIMU, TOENI ELIMU INAYOENDANA NA MABADILIKO YA TEKNOLOJIA -RC MACHA

    February 24, 2025
  • Angalia zote

Video

MIFUKO BANDIA ZAIDI YA ELFU 20 YAKAMATWA SHINYANGA
Video Nyinginezo

Viunganishi vya Haraka

  • Historia
  • Dira na Dhima
  • Hotuba Mbalimbali
  • Video Mbalimbali
  • Maswali yaulizwayo mara kwa mara
  • Picha za Matukio
  • Miongozo na kanuni

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Mfumo wa kutuma, kupokea na kufuatilia malalamiko, mapendekezo, maulizo na pongezi
  • Ofisi ya Rais Menejimenti ya utumishi wa Umma
  • Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Boma Street, Mwanza Road

    Anuani: P.O.Box 320, Shinyanga

    Simu: +255 28 2762222

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@shinyanga.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2018. Mkoa wa Shinyanga. Haki zote zimehifadhiwa