Na. Paul Kasembo, SHY RS.
Repost @shinyangamanispaa Picha ikimuonesha Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango akitoa zawadi kwa Mshindi wa kwanza Kitaifa kutoka Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga zawadi iliyopokelewa na Mstahiki Meya wa Manispaa ya Shinyanga Mhe. Elias Masumbuko baada ya kutangazwa na Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu alipokuwa akiwataja washindi wa mashindano ya usafi wa mazingira kwa mwaka 2023, tuzo hizo zimetolewa tarehe 9 Mei, 2023 kibaha Mkoa wa Pwani.
OFISI YA MKUU WA MKOA, MKOA WA SHINYANGA, 04 MTAA WA BOMA
Anuani: P.O.Box 320, 37180,SHINYANGA, TANZANIA
Simu: +255 28 2762222
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: ras@shinyanga.go.tz
Hakimiliki@2018. Mkoa wa Shinyanga. Haki zote zimehifadhiwa