Na. Paul Ksaembo, SHY DC.
MRATIBU wa Uboreshaji wa Daftafi la Kudumu la Mpiga Kura Mkoa wa Shinyanga ndg. Bakari Kasinyo amefika ofisini kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga Dkt. Kalekwa Kasanga na kusaini kitabu cha wageni ikiwa ni siku ha mwisho wa zoezi hili ambapo baada ya hapo alielekea Kata ya Didia na baadae Khama Manispaa.
Mkoa wa Shinyanga ulianza rasmi zoezi la Uboreshaji wa Daftati la Kudumu la Mpiga Kura tarehe 21 Agosti, 2024 na litahitimishwa tarehe 27 Agosti, 2024.
Boma Street, Mwanza Road
Anuani: P.O.Box 320, Shinyanga
Simu: +255 28 2762222
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: ras@shinyanga.go.tz
Hakimiliki@2018. Mkoa wa Shinyanga. Haki zote zimehifadhiwa