• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
    • eVibali |
Shinyanga Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Shinyanga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili Yetu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
    • Idara
      • Utawala na Rasilimaliwatu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Maji
      • Afya
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ugavi na Manunuzi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Shinyanga
    • Wilaya ya Kahama
    • Wilaya ya Kishapu
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu
    • Halmashauri ya Mji wa Kahama
    • Halmashauri ya Wilaya ya Ushetu
    • Halmashauri ya Wilaya ya Msalala
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Madini
    • Bandari Kavu
  • Huduma
    • Kutoa Ushauri wa Kitaalam
    • Kutafsiri Sheria na Sera
    • Kuratibu Shughuli za Wadau
    • Ulinzi na Usalama
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Fomu
    • Tafiti
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Video
    • Maktaba ya Picha

TUMIENI LUGHA YA KISWAHI KWWNYE MABANGO YOTE YANAYOTAMBULISHA MIRADI

Posted on: June 10th, 2024

Na. Paul Kasembo. KAHAMA MC.

MKUU wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Anamringi Macha amesema kuwa, Mabango yote yanayotambulisha miradi inayotekelezwa ndani ya Mkoa wa Shinyanga yaandikwe kwa lugha ya Kiswahili au yawepo mabango mawili, moja lianze kwa kiswahili na la pili liandikwe kwa lugha ya kiingereza iwapo kuna ulazima huo huku akisisitiza kuwa yataje aina ya mradi, gharama za mradi, muda utakaotumika kutekeleza mradi, jina la mwajiri/mlipaji na jina  la mkandarasi lengo ni kuwafanya wananchi kujua Serikali yao inavyowaja, kuthamini lugha yao, na kuwezesha wao kuwa sehemu ya umiliki wa mradi husika na kwamba utekelezaji wa maelekezo haya uanzie kwenye ujenzi wa barabara ya Kahama - Kakola km 74.

RC Macha ameyasema haya leo tarehe 10 Juni, 2024 wakati akikagua utekelezaji wa miradi wa ujenzi wa barabara za katikati ya Mji (CBD), barabara za eneo la Viwanda la Zongomela na ujenzi wa mifereji ya maji ya mvua ya Chalsea - Lyazungu na Shunu - Magobeko zote za hapa Kahama Manispaa unaotekelezwa na Mkandarasi Sichuan Road and Bridge (Group) Corporation Ltd ya Jijini Dar es Salaam kwa zaidi ya Tzs. Bil 20.864 kwa muda wa miezi 15.

"Nirudie tena kuwaelekeza wataalam wetu kuwa, kwa maslahi mapana ya wananchi wetu na Watanzania kwa ujumla Mabango ya miradi yote ndani ya Mkoa wa Shinyanga yaandikwe kwa lugha ya Kiswahili ili waweze kuelewa nini kinafanyika katika maeneo yao, na pia mabango hayo yaeleze kila kitu ikiwemo gharama za mradi, muda utakaotumika kutekeleza, jina la mlipaji, jina la mkandarasi maana kwa kufanya hivi itasaidia sana kuwa na uelewa wa pamoja na wananchi kujua Serikali yao inawathamini na wao kuwa sehemu ya mradi husika," amesema RC Macha.

Mkandarasi huyu anatekeleza mradi wa ujenzi wa barabara za katikati ya mji(CBD), Barabara eneo la Viwandani Zongomela na ujenzi wa mifereji ya maji ya mvua mitaa ya Chelsea, Lyazungu na Shunu kwa zaidi ya Tzs. Bil 20 kwa muda wa miezi 15. Ujenzi huu wa barabara wenye urefu wa km 12 unatokana na Programu ya Uboreshaji wa Miundombinu ya Miji Tanzania (TACTIC) ambapo Manispaa ya Kahama ni mnufaika umefikia asilimia 22.


HABARI PICHA








Matangazo

  • No records found
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • SIKU YA TATU YA MAONESHO YA BIASHARA YA KIMATAIFA SABASABA – 2025

    July 01, 2025
  • RC. ANAMRINGI MACHA AKABIDHI OFISI KWA RC. MBONI MHITA

    July 01, 2025
  • RC. MBONI MHITA ASHIRIKI KIKAO KILICHOONGIZWA NA MHE. MCHENGERWA JIJINI DODOMA

    June 28, 2025
  • NAIPONGEZA OFISI YA MKUU WA MKOA WA SHINYANGA KWA URATIBU MZURI WA USHIRIKI WA WAFANYABIASHARA KATIKA MAONESHO YA SABASABA - MASUDI KIBETU

    June 28, 2025
  • Angalia zote

Video

MIFUKO BANDIA ZAIDI YA ELFU 20 YAKAMATWA SHINYANGA
Video Nyinginezo

Viunganishi vya Haraka

  • Historia
  • Dira na Dhima
  • Hotuba Mbalimbali
  • Video Mbalimbali
  • Maswali yaulizwayo mara kwa mara
  • Picha za Matukio
  • Miongozo na kanuni

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Mfumo wa kutuma, kupokea na kufuatilia malalamiko, mapendekezo, maulizo na pongezi
  • Ofisi ya Rais Menejimenti ya utumishi wa Umma
  • Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Boma Street, Mwanza Road

    Anuani: P.O.Box 320, Shinyanga

    Simu: +255 28 2762222

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@shinyanga.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2018. Mkoa wa Shinyanga. Haki zote zimehifadhiwa