Na. Paul Kasembo, KAHAMA MC.
Ukaguzi wa BVR na makabidhiano umefanyika katika Ukumbi wa Halmashauri ya Manispaa ya Kahama kutoka kwa Watendaji na Afisa Mwandikishaji wa Jimbo la Kahama ikiwa ni hatua ya mwisho kabisa baada ya kukamilika kwa zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Mpiga Kura ambalo kwa Mkoa wa Shinyanga lilianza tarehe 21 Agosti, 2024 na kukamilika tarehe 27 Agosti, 2024
Kwa upande wake ndg. Bakari Kasinyo ambaye ni Mratibu wa Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Mpiga Kura Mkoa wa Shinyanga akiwapongeza na kuwashukuru wote kwa utekelezaji wa kazi hii muhimu kwetu sote.
Boma Street, Mwanza Road
Anuani: P.O.Box 320, Shinyanga
Simu: +255 28 2762222
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: ras@shinyanga.go.tz
Hakimiliki@2018. Mkoa wa Shinyanga. Haki zote zimehifadhiwa