• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
    • eVibali |
Shinyanga Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Shinyanga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili Yetu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
    • Idara
      • Utawala na Rasilimaliwatu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Maji
      • Afya
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ugavi na Manunuzi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Shinyanga
    • Wilaya ya Kahama
    • Wilaya ya Kishapu
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu
    • Halmashauri ya Mji wa Kahama
    • Halmashauri ya Wilaya ya Ushetu
    • Halmashauri ya Wilaya ya Msalala
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Madini
    • Bandari Kavu
  • Huduma
    • Kutoa Ushauri wa Kitaalam
    • Kutafsiri Sheria na Sera
    • Kuratibu Shughuli za Wadau
    • Ulinzi na Usalama
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Fomu
    • Tafiti
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Video
    • Maktaba ya Picha

WANASHINYANGA, TUENDELEE KUUENZI NA KUULINDA MUUNGANO WETU KWA KUDUMISHA AMANI, UPENDO NA MSHIKAMANO - RC MACHA.

Posted on: April 26th, 2025

Na. Paul Kasembo, SHY RS.

MKUU wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Anamringi Macha amewaku,busha wananchi wa Shinyanga kuendelea kuuenzi na kuulinda Muungano wetu kwa kudumisha amani, upendo  na mshikamano huku akiwataka kupanda miti na kuitunza ili kuimarisha mazingira yetu ikiwa ni sehemu ya kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi.

Ameyasema hayo Aprili 26, 2025 wakati wa kuadhimisha miaka 61 ya Muungano katika Mtaa wa Kalogo, Manispaa ya Shinyanga ambapo kulifanyika shughuli mbalimbali za kijamii ikiwa ni pamoja na kufanya usafi wa mazingira, kupanda miti na matembezi ambayo yalianzia Ofisi ya Mkuu wa Mkoa maadhimisho ambayo yalihudhuriwa na viongozi mbalimbali wa Serikali, Dini, Taasisi, watumishi na wananchi wakiongozwa na Katibu Tawala Mkoa wa Shinyanga CP. Salum Hamduni.

"Tunapoadhimisha miaka 61 ya Muungano wetu napenda niwakumbushe Wanashinyanga kuendelea  kuuenzi na kuulinda kwa kudumisha amani, upendo  na mshikamano huku akiwataka kupanda miti na kuitunza ili kuimarisha mazingira yetu ikiwa ni sehemu ya kukabiliana na mabadiliko ya tabianch ," alisema RC Macha.

Kando na ukumbusho huo, RC Macha ametumia nafasi hiyo pia kumpongeza na kumshukuru Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mhe. Hussein Ali Mwinyi kwa kuendeleza Muungano, kuuenzi na kuufanya uendelee kudumu na kuwa bora zaidi.

Huku akiwakumbusha wananchi kujiandaa na zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Mpiga Kura mwezi Mei, 2025 na Uchaguzi Mkuu wa Waheshimiwa Madiwani, Wabunge na Rais ambao huchaguliwa kwa mujibu wa Katiba ya Nchi yetu kila baada ya miaka mitano.

Maadhimisho ya miaka 61 ya Muungano yanaongozwa na kaulimbiu ”Muungano wetu ni Dhamana, Heshima na Tunu ya Taifa: Shiriki Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025”.

Matangazo

  • No records found
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • RC MHITA AWAHAMASISHA WAFANYABIASHARA NA WAWEKEZAJI KUCHANGAMKIA FURSA ZA KIUCHUMI MKOANI SHINYANGA

    November 13, 2025
  • RC MHITA AKUTANA NA MSANII BANDO MC, APONGEZA JUHUDI ZA KUSAIDIA VIJANA SHINYANGA

    November 11, 2025
  • RC MHITA APONGEZA UONGOZI MPYA WA KANISA LA WASABATO NGBF MKOANI SHINYANGA.

    November 07, 2025
  • WANAFUNZI 29,193 KUFANYA MTIHANI WA UPIMAJI KIDATO CHA PILI SHINYANGA.

    November 07, 2025
  • Angalia zote

Video

RC MHITA AWAHAMASISHA WAFANYABIASHARA NA WAWEKEZAJI KUCHANGAMKIA FURSA ZA KIUCHUMI MKOANI SHINYANGA
Video Nyinginezo

Viunganishi vya Haraka

  • Historia
  • Dira na Dhima
  • Hotuba Mbalimbali
  • Video Mbalimbali
  • Maswali yaulizwayo mara kwa mara
  • Picha za Matukio
  • Miongozo na kanuni

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Mfumo wa kutuma, kupokea na kufuatilia malalamiko, mapendekezo, maulizo na pongezi
  • Ofisi ya Rais Menejimenti ya utumishi wa Umma
  • Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    OFISI YA MKUU WA MKOA, MKOA WA SHINYANGA, 04 MTAA WA BOMA

    Anuani: P.O.Box 320, 37180,SHINYANGA, TANZANIA

    Simu: +255 28 2762222

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@shinyanga.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2018. Mkoa wa Shinyanga. Haki zote zimehifadhiwa