Posted on: July 4th, 2023
UJUMBE wa Jumuiya ya Waislamu Ahmadiyya ukiongozwa na Sheikh Tahir Mahmood Choudhry ambaye ni Amiri na Mbashiri Mkuu wa Tanzania umefika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga kwa lengo la kujitambulisha ...
Posted on: July 3rd, 2023
Na. Shinyanga RS.
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Christina Solomon Mndeme amizitaka Halmashauri zote ndani ya Mkoa wa Shinyanga kukamilisha ujenzi wa miradi ya Boost kabla ya tarehe 10 Julai, 2023 ...
Posted on: July 3rd, 2023
Na. Shinyanga RS.
Waziri wa Madini Mhe. Dotto Mashaka Biteko amefungua Zahanati iliyojengwa na Kikundi cha Wanawake Wachimbaji Wadogo wa Madini (TAWOMA MSHIKAMANO GROUP) na kukabidhi Gari ...