Posted on: December 11th, 2019
Serikali imewatangazia wananchi wa kata ya Maganzo, Wilaya ya Kishapu kuanza kuchenjua mchanga unaotokana na madini ya Almasi ndani ya mwezi huu.
Waziri wa madini mhe. Dotto Biteko amewatangazia ne...
Posted on: December 11th, 2019
Waziri wa Madini Mhe. Dotto Biteko amewataka wafanyakazi wa migodi nchini kuwa waadilifu ili kutoiweka nchi kwenye aibu ya sifa mbaya kwa wananchi wake.
Mhe. Biteko amesema baadhi ya Wawekezaji wan...
Posted on: December 11th, 2019
Waziri wa Madini Mhe. Dotto Biteko amekataa tabia ya baadhi ya kampuni za Migodi kuwapa kipaumbele na kuwanyenyekea raia wa kigeni kuliko Watanzania.
Akizungumza na Wafanyakazi wa Mgodi wa Mwadui j...