Posted on: March 15th, 2018
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa, imefanya ziara Mkoani Shinyanga na kukagua miradi mbalimbali leo tarehe 15 Machi, 2018.
Kamati hiyo inayoongozwa na Mwenyekiti wake Mhe. J...
Posted on: March 14th, 2018
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Zainab Telack amekemea kitendo cha baadhi ya viongozi kutumia madaraka yao vibaya kuwanyanyasa watumishi.
Akizungumza na viongozi pamoja na wananchi katika kata ya So...
Posted on: March 14th, 2018
Kata ya Songwa, Wilayani Kishapu imepanga kutumia jumla ya sh. 291,097,581 kati ya sh. milioni mia nne (400,000,000) zilizotolewa na Serikali kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu katika kituo cha Afya.
...