Posted on: September 30th, 2017
Ofisi ya Rais TAMISEMI na Ofisi ya Rais UTUMISHI kwa kushirikiana na Mradi wa uimarishaji wa mifumo ya Sekta ya Umma nchini PS3 wamezindua mfumo wa dawati la malalamiko katika ngazi ya Mkoa kwa lengo ...
Posted on: September 27th, 2017
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA)imetoa elimu kwa waandishi wa Habari wa Mkoa wa Shinyanga kuhusu huduma ya kuhama mtandao pasipo kubadili namba ya simu.
Elimu hiyo imetolewa mapema leo katika...
Posted on: September 25th, 2017
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Zainab Telack amezindua kampeni maalumu ya kupanda miti iliyopewa kauli mbiu ya "Shinyanga Mpya, Mti kwanza" yenye lengo la kuhakikisha Mkoa wa Shinyanga unakuwa na miti...