Posted on: February 13th, 2025
Na. Paul Kasembo, KISHAPU DC.
MKUU wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Anamringi Macha amewataka wanufaika wa mikopo ya asilimia 10 kurejesha mikopo hiyo kwa wakati ili iweze kuwanufaisha na wengine na kuwez...
Posted on: February 13th, 2025
KATIBU Tawala Mkoa wa Shinyanga CP. Salum Hamduni amekutana na Kamati ya Michezo kutoka Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) iliyomtembelea Ofisini kwake kwa lengo la kujitambulisha na kisha kumjulish...
Posted on: February 12th, 2025
Paul Kasembo, SHY RS.
KAMISHNA wa Ardhi Msaidizi Mkoa wa Shinyanga Ndugu Leo Komba amewaomba wananchi na wadau wote wa kodi Mkoani Shinyanga kulipa kodi ya pango la ardhi kwa wakati ili kuepuka rib...