KARIBU KATIKA TOVUTI YA MKOA WA SHINYANGA.
Tovuti hii imeanzishwa na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa kwa lengo la kuhabarisha wananchi, wadau wa ndani na nje ya ofisi.
Katika Tovuti hii ya Mkoa, utapata taarifa zote muhimu kuhusu majukumu na huduma zinazotolewa na Serikali ya Mkoa wa Shinyanga katika kuhudumia wananchi, utekelezaji wa miradi ya maendeleo kwa ngazi ya Taifa na Serikali kwa ujumla katika kuhakikisha kuwa wananchi wanafikiwa na huduma zote muhimu popote walipo kupitia Sekta mbalimbali.
Aidha, utapata takwimu zote muhimu, matangazo, tahadhari na elimu mbalimbali yenye lengo la kuujulisha umma, matukio na matangazo, pia, utapata kufahamu muundo wa Serikali ya Mkoa, historia, mgawanyo wa kiutawala, Dira na Dhima, ripoti, mpango mikakati wa Mkoa pamoja na utekelezaji wa malengo ya Serikali ya Mkoa na miradi mbalimbali inapatikana kwenye tovuti hii.
Kwa mawasiliano, maoni, ushauri na malalamiko wasiliana nasi kwa barua pepe
ras@shinyanga.go.tz, Nukushi 028-2762310, simu namba +255-282762222 au 0757 715 559
Boma Street, Mwanza Road
Anuani: P.O.Box 320, Shinyanga
Simu: +255 28 2762222
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: ras@shinyanga.go.tz
Hakimiliki@2018. Mkoa wa Shinyanga. Haki zote zimehifadhiwa