Sehemu hii ina lengo la kuziwezesha Sehemu nyingine kutimiza majukumu yake, kutoa utaalamu na huduma mbalimbali zinazohusiana na Usimamizi wa Rasilimaliwatu na Utawala kwenye Sekretarieti ya Mkoa.
Sehemu hii inaongozwa na Katibu Tawala Msaidizi ambaye anawajibika kwa Katibu Tawala wa Mkoa (RAS).
Majukumu ya Sehemu ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu:
Boma Street, Mwanza Road
Anuani: P.O.Box 320, Shinyanga
Simu: +255 28 2762222
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: ras@shinyanga.go.tz
Hakimiliki@2018. Mkoa wa Shinyanga. Haki zote zimehifadhiwa