Na. Shinyanga RS.
TARURA Mkoa wa Shinyanga ina mtandao wa barabara wenye jumla ya Km 5.220.02 kati ya hizo Km 38.132 sawa na asilimia 0.73 ni barabara ya Lami, Km 1.406.38 ni Changarawe sawa na asilimia 26.94 ya barabara na Km 3.775.51 ambayo ni sawa na asilimia 72.32 ni barabara ya Udongo.
Tunamshukuru sana Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuiongezea bajeti kubwa Tarura Mkoa wa Shinyanga ambapo sasa mtandao wa barabara zinazosimamiwa na Tarura Mkoa wa Shinyanga umeongezeka na kufikia Km 5.232.225 ikiwa ni barabara ya Lami kufikia Km 38.944, barabara ya Changarawe Km 1.814.192 na barabara ya Udongo n8 Km 3.379.089.
Picha zikionesha miradi mbalimbali



OFISI YA MKUU WA MKOA, MKOA WA SHINYANGA, 04 MTAA WA BOMA
Anuani: P.O.Box 320, 37180,SHINYANGA, TANZANIA
Simu: +255 28 2762222
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: ras@shinyanga.go.tz
Hakimiliki@2018. Mkoa wa Shinyanga. Haki zote zimehifadhiwa