SHINYANGA RC.
Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) Mkoa wa Shinyanga wanatarajia kufanya hafla fupi ya Utiaji Saini wa mikataba ya ujenzi wa miradi ya maji kwa mwaka wa fedha 2024/2025.
Hafla hiyo itafanyika tarehe 24 Januari, 2025 kuanzia saa 2:00 hadi saa 4:00 asubuhi katika ukumbi wa mikutano uliopo Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga.
Mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Mhe. Anamringi Macha, Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga.
Boma Street, Mwanza Road
Anuani: P.O.Box 320, Shinyanga
Simu: +255 28 2762222
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: ras@shinyanga.go.tz
Hakimiliki@2018. Mkoa wa Shinyanga. Haki zote zimehifadhiwa