Na. Paul Kasembo, SHY RS.
MKUU wa Jeshi la Polisi nchini IGP Camilius Wambura amembelea ofisini kwake Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Anamringi Macha, pamoja na mamho mengine lakini pia wamezungumza mambo mbalimbali kuhusiana na hali ya usalama mkoani hapa.
IGP Wambura yupo mkoani Shinyanga kwa ziara ya ya kikazi ambapo atazungumza na maofisa wakaguzi na askari wa vyeo mbalimbali.
HABARI PICHA

OFISI YA MKUU WA MKOA, MKOA WA SHINYANGA, 04 MTAA WA BOMA
Anuani: P.O.Box 320, 37180,SHINYANGA, TANZANIA
Simu: +255 28 2762222
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: ras@shinyanga.go.tz
Hakimiliki@2018. Mkoa wa Shinyanga. Haki zote zimehifadhiwa