KATIBU Tawala Wilaya ya Shinyanga ndg. Sais Kitinga aliyemuwakikisha Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga Mhe. Julius Mtatiro amefungua mkutano wa wadau wa mradi wa uboreshaji usalama wa milki za Ardhi unaotarajiwa kuanza utekelezaji wake Julai mosi Mwaka huu 2024 kwenye kata 9 za Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga katika awamu ya kwanza huku akisisitiza wasimamizi wa mradi huo kutekeleza majukumu yao kwa weledi, haki na usawa ili kuepusha migogoro kwa wananchi.
HABARI PICHA
Boma Street, Mwanza Road
Anuani: P.O.Box 320, Shinyanga
Simu: +255 28 2762222
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: ras@shinyanga.go.tz
Hakimiliki@2018. Mkoa wa Shinyanga. Haki zote zimehifadhiwa