Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Anamringi Macha kwa kushirikiana na Tume ya Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ya Kutathimini na Kupendekeza Maboresho ya Mfumo na Muundo wa Kodi nchini inakualika ewe mwananchi, mfanyabiashara, mtumishi wa umma, mjasiliamali, bodaboda, machinga na mkulima.
Mdau mwingine anaealikwa ni pamoja na mfugaji, mchimbaji, mfanyabiashara ya madini, msafirishaji, mmiliki wa kiwanda, hoteli na nyumba ya kulala wageni wote mnaalikwa katika mkutano utakaofanyika tarehe 17 Januari, 2025 kwenye ukumbi wa mikutano uliopo Lyakale Garden Hotel saa 3: 00 asubuhi.
Boma Street, Mwanza Road
Anuani: P.O.Box 320, Shinyanga
Simu: +255 28 2762222
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: ras@shinyanga.go.tz
Hakimiliki@2018. Mkoa wa Shinyanga. Haki zote zimehifadhiwa