Na. Paul Kasembo - RS SHY.
Picha ikimuonesha Naibu Katibu Mkuu Mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi Bara ambaye kwa sasa ni Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Anamringi Issay Macha akimkabidhi nyaraka mbalimbali Naibu Katibu Mkuu wa CCM Komredi John Vianney K. Mongella, ikiwa ni ishara ya makabidhiano rasmi ya ofisi katika tukio lililofanyika Alhamis Aprili 4, 2024 Ofisi ndogo ya Makao Makuu ya CCM Mtaa wa Lumumba, Jijini Dar Es Salaam.
OFISI YA MKUU WA MKOA, MKOA WA SHINYANGA, 04 MTAA WA BOMA
Anuani: P.O.Box 320, 37180,SHINYANGA, TANZANIA
Simu: +255 28 2762222
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: ras@shinyanga.go.tz
Hakimiliki@2018. Mkoa wa Shinyanga. Haki zote zimehifadhiwa