• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
    • eVibali |
Shinyanga Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Shinyanga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili Yetu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
    • Idara
      • Utawala na Rasilimaliwatu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Maji
      • Afya
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ugavi na Manunuzi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Shinyanga
    • Wilaya ya Kahama
    • Wilaya ya Kishapu
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu
    • Halmashauri ya Mji wa Kahama
    • Halmashauri ya Wilaya ya Ushetu
    • Halmashauri ya Wilaya ya Msalala
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Madini
    • Bandari Kavu
  • Huduma
    • Kutoa Ushauri wa Kitaalam
    • Kutafsiri Sheria na Sera
    • Kuratibu Shughuli za Wadau
    • Ulinzi na Usalama
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Fomu
    • Tafiti
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Video
    • Maktaba ya Picha

NINAWASHUKURU SANA WAHESHIMIWA MADIWANI NA WATUMISHI WOTE KWA KUWA WAMOJA WAKATI WOTE – RC MACHA

Posted on: November 1st, 2024

Na. Paul Kasembo, SHY MC.

MKUU wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Anamringi Macha amewashukuru na kuwapongeza Waheshimiwa Madiwani na Watumishi wa Manispaa ya Shinyanga kupitia viongozi wao Mstahiki Meya Mhe. Elias Masumbuko na Mkurugenzi Mwl. Alexius Kagunze kwa kuwa wamoja wakati wote.

Pongezi hizi amezitoa leo tarehe 1 Novemba, 2024 wakati akihutubia Baraza la Madiwani la Manispaa ya Shinyanga, ambapo amesema umoja wao, upendo, na mshikamano ndio umewawezesha kufanya kazi kama timu moja kwa kuwa kila upande una watu wake, huku akiwapongeza kwa kufanya hamasa ya kutosha wakati wa zoezi la kuandikisha wapiga kura.

“Niwapongeze sana nyote kwa kuwa wa kwanza kushirikiana na kudumisha upendo, umoja na mshikamano miongoni mwenu licha ya kwamba mnatoka pande tofauti lakini mmefanya kazi kubwa sana ya kuwahamasisha wananchi kujitokeza wakati wa zoezi la kuandikisha wapiga kura” amesema RC Macha.

Aidha RC Macha ametumia nafasi hii kuwaomba wanachama wa vyama vyote kwenda kufanya kampeni za kistaarabu, upendo na uzalendo zaidi kwani wagombea wote wanatoka katika jamii zetu ambazo tunaishi nazo na kutakuwa na maisha baada ya uchaguzi wenyewe.

Akitoa salamu za Manispaa, Mstahiki Meya amesema kuwa wazipokea pongezi, shukrani na ushauri alioutoa RC Macha huku akimshukuru kwa kuwa karibu na Manispaa na kuahidi  wataendelea kushirikiana bega kwa bega wakati wote katika kuwatumikia wananchi.

Matangazo

  • No records found
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • MRADI WA TABLET KWA SHULE ZA MSINGI WATAMBULISHWA NGAZI YA MKOA WA SHINYANGA NA WILAYA

    June 03, 2025
  • SHINYANGA KUNUFAIKA NA MIRADI YA REA, WAUZIWA KWA RUZUKU MITUNGI 13000

    June 02, 2025
  • ENDELEENI KUTOA ELIMU ZAIDI KUHUSU AFYA YA AKILI - DC. MBONI

    May 30, 2025
  • TAKUKURU SHINYANGA YAANZA KUCHUKUA HATUA DHIDI YA UBADHIRIFU WA SHILINGI MILIONI 92 ZA WAKULIMA WA TUMBAKU WA USHETU - DONASIAN.

    May 27, 2025
  • Angalia zote

Video

MIFUKO BANDIA ZAIDI YA ELFU 20 YAKAMATWA SHINYANGA
Video Nyinginezo

Viunganishi vya Haraka

  • Historia
  • Dira na Dhima
  • Hotuba Mbalimbali
  • Video Mbalimbali
  • Maswali yaulizwayo mara kwa mara
  • Picha za Matukio
  • Miongozo na kanuni

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Mfumo wa kutuma, kupokea na kufuatilia malalamiko, mapendekezo, maulizo na pongezi
  • Ofisi ya Rais Menejimenti ya utumishi wa Umma
  • Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Boma Street, Mwanza Road

    Anuani: P.O.Box 320, Shinyanga

    Simu: +255 28 2762222

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@shinyanga.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2018. Mkoa wa Shinyanga. Haki zote zimehifadhiwa