• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
    • eVibali |
Shinyanga Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Shinyanga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili Yetu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
    • Idara
      • Utawala na Rasilimaliwatu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Maji
      • Afya
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ugavi na Manunuzi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Shinyanga
    • Wilaya ya Kahama
    • Wilaya ya Kishapu
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu
    • Halmashauri ya Mji wa Kahama
    • Halmashauri ya Wilaya ya Ushetu
    • Halmashauri ya Wilaya ya Msalala
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Madini
    • Bandari Kavu
  • Huduma
    • Kutoa Ushauri wa Kitaalam
    • Kutafsiri Sheria na Sera
    • Kuratibu Shughuli za Wadau
    • Ulinzi na Usalama
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Fomu
    • Tafiti
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Video
    • Maktaba ya Picha

NIWAOMBE VIONGOZI WA DINI, TUENDELEE KUWAKUMBUSHA WAUMINI WETU KUDUMISHA AMANI NA UTULIVU - RC MACHA

Posted on: September 22nd, 2024

Na. Paul Kasembo, SHY RS.

MKUU wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Anamringi Macha amewaomba viongozi wa Dini kuendelea kuwakumbusha kudumisha amani na utulivu pamoja na kumuombea afya njema na kheri zaidi Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ili aendelee kuwahudumia wananchi na kuwaletea maendeleo.

RC Macha ameyasema haya leo tarehe 22 Septemba, 2024 alipohudhuria Harambee ya uchangiaji wa fedha za ujenzi wa Kanisa la Africa Inland Church Tanzania (AICT) Pastoreti ya Mlima Bethel - Kitangili Shinyanga akiwa kama mgeni rasmi ambapo pia amechangia Tzs. Milioni moja ikiwa ni kuwezesha kazi ya Mungu ambayo imeanza miaka saba iliyopita huku akisisitiza kuwa Serikali inatambua, inathamini na kuheshimu kazi, huduma na mchango unazotolewa na Taasisi za Dini zote nchini ikiwemo ya AICT.

"Niwaombe sana viongpzi wa dini, tuendelee kuwakumbusha waumini wetu kudumisha amani na utulivu ndani ya nchi yetu sanjali na kuendelea kumuombea afya njema na kheri Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ili aendelee kuwatumikia watanzania na kuwaletea maendeleo zaidi," amesema RC Macha.

Akitanguliza salamu za awali kwa mgeni rasmi  Dr. Everyne Polle ambaye pia ndiye Mwinjilisti wa Kanisa la AICT Ufunuo - Kitangili amesema kuwa, kufuatia ongezeko la waumini zaidi hekima iliwataka viongozi wa Kanisa kuanzisha ujenzi wa Hekalu ambalo litakidhi matakwa ya waumini kwa kuzingatia ukubwa, ubora ambapo taratibu za upatikanaji wa fedha zilianza ikiwa ni pamoja na kufanya Harambee hii ambayo leo inafanyika lengo ni kukamilisha ujenzi huu.

Kanisa la AICT UFUNUO ni miongoni mwa Makanisa matano yanayounda Pastoreti moja ya Mlima Bethel - Kitangili na ambalo lilianza ujezi wake rasmi tarehe 17 Septemba, 1917 likiwa na waumini 45 na sasa limetimiza miaka saba sasa.

Matangazo

  • No records found
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • RC MHITA AWAHAMASISHA WAFANYABIASHARA NA WAWEKEZAJI KUCHANGAMKIA FURSA ZA KIUCHUMI MKOANI SHINYANGA

    November 13, 2025
  • RC MHITA AKUTANA NA MSANII BANDO MC, APONGEZA JUHUDI ZA KUSAIDIA VIJANA SHINYANGA

    November 11, 2025
  • RC MHITA APONGEZA UONGOZI MPYA WA KANISA LA WASABATO NGBF MKOANI SHINYANGA.

    November 07, 2025
  • WANAFUNZI 29,193 KUFANYA MTIHANI WA UPIMAJI KIDATO CHA PILI SHINYANGA.

    November 07, 2025
  • Angalia zote

Video

RC MHITA AWAHAMASISHA WAFANYABIASHARA NA WAWEKEZAJI KUCHANGAMKIA FURSA ZA KIUCHUMI MKOANI SHINYANGA
Video Nyinginezo

Viunganishi vya Haraka

  • Historia
  • Dira na Dhima
  • Hotuba Mbalimbali
  • Video Mbalimbali
  • Maswali yaulizwayo mara kwa mara
  • Picha za Matukio
  • Miongozo na kanuni

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Mfumo wa kutuma, kupokea na kufuatilia malalamiko, mapendekezo, maulizo na pongezi
  • Ofisi ya Rais Menejimenti ya utumishi wa Umma
  • Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    OFISI YA MKUU WA MKOA, MKOA WA SHINYANGA, 04 MTAA WA BOMA

    Anuani: P.O.Box 320, 37180,SHINYANGA, TANZANIA

    Simu: +255 28 2762222

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@shinyanga.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2018. Mkoa wa Shinyanga. Haki zote zimehifadhiwa