Ofisi ya Rais - TAMISEMI kwa kushirikiana na Wizara ya Afya inatekeleza Mradi wa kuimarisha huduma za Mama na Mtoto (TMNCIP), mradi huu unalenga kuboresha huduma za Mama na Mtoto ambapo mikakati mbalimbali itatekelezwa kwa lengo la kuongeza ufanisi na ubora wa utoaji wa huduma.
Katika utekelezaji wa mradi huu, OR - TAMISEMI imeandaa mafunzo tajwa ili kutekeleza muongozo Kitaifa unasisitiza kuzingatia ulinzi wa wa mazingira, afya na ustawi wa jamii wakati wa kutekeleza miradi midogo na mikubwa ili kuhakikisha miradi yote inayotekelezwa nchini na kukidhi matakwa ya sheria, viwango vya kitaifa pamoja na matakwa ya Benki ya Dunia kama inavyoelezwa katika sera za Mazingira, afya na utekelezaji wa ustawi wa jamii.
Boma Street, Mwanza Road
Anuani: P.O.Box 320, Shinyanga
Simu: +255 28 2762222
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: ras@shinyanga.go.tz
Hakimiliki@2018. Mkoa wa Shinyanga. Haki zote zimehifadhiwa