• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
    • eVibali |
Shinyanga Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Shinyanga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili Yetu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
    • Idara
      • Utawala na Rasilimaliwatu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Maji
      • Afya
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ugavi na Manunuzi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Shinyanga
    • Wilaya ya Kahama
    • Wilaya ya Kishapu
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu
    • Halmashauri ya Mji wa Kahama
    • Halmashauri ya Wilaya ya Ushetu
    • Halmashauri ya Wilaya ya Msalala
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Madini
    • Bandari Kavu
  • Huduma
    • Kutoa Ushauri wa Kitaalam
    • Kutafsiri Sheria na Sera
    • Kuratibu Shughuli za Wadau
    • Ulinzi na Usalama
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Fomu
    • Tafiti
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Video
    • Maktaba ya Picha

RC MACHA AJUMUIKA NA WANASHINYANGA KUMUOMBEA DUAH RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN

Posted on: March 30th, 2025

Na. Paul Kasembo, SHY RS.

MKUU wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Anamringi Macha amejumuika na Wanashinyanga wakiongozwa na Sheikh wa Mkoa wa Shinyanga Sheikh Ismail Habib Makusanya kumuombea Dua Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ambapo pamoja dua maalum pia wamemuombea kheri, afya njema  maisha marefu na yenye baraka zaidi ili aendelee kuwatumikia Watanzania wote wakiwemo Wanashinyanga.

Dua hii Maalum imefanyika nyumbani kwake RC Macha mara baada ya Iftar ambayo ilijumuisha viongozi mbalimbali akiwemo Mkuu wa Wilaya ya Kahama Mhe. Mboni Mhita @mboni_mhita, Mkuu wa Wilaya ya Kishapu Mhe. Peter Masindi, viongozi wa dini, vyama vya siasa, Serikali na watoto wenye mahitaji maalum ambapo kwa upande wake alitumia nafasi hiyo kuwashukuru viongozi wote kwa dua hiyo njema kwa Mhe. Rais naye akamtakia heri na baraka zaidi ili aendelee kuwatumikia Wanashinyanga na Watanzania kwa ujumla.

RC Macha pia ametumia nafasi hiyo kuwashukuru pia Wafanyabiasha ambao awali katika kuelekea kaunza kwa mfungo mtukufu wa Ramadhan na Kwaresma aliwaomba kutopandisha bei ya bidhaa hasa vyakula vya nafaka kwa lengo la kujipatia faida zaidi jambo ambalo amesema walizingatia na hivyo hapakuwa na upandishaji wa bei kwa kipindi hiki chote.

"Ninawashukuru sana viongozi wote wa dini  vyama vya siasa na watoto wetu wenye mahitaji maalum kwa kufanya dua hii maalum ya kumuombea Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan afya njema, kheri, baraka, maisha marefu na nguvu zaidi ili aweze kuendelea kuwahudumia Wanashinyanga na Watanzania wote kwa ujumla," amesema RC Macha.

Dua hii Maalum ya kumuombea Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imekwenda sanjari na Iftar Maalum iliyowajumuisha Watoto wenye Mahitaji Maalum kutoka maeneo mbalimbali ya hapa Manispaa ya Shinyanga kwa niaba ya wote mkoani Shinyanga.


Matangazo

  • No records found
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • MRADI WA TABLET KWA SHULE ZA MSINGI WATAMBULISHWA NGAZI YA MKOA WA SHINYANGA NA WILAYA

    June 03, 2025
  • SHINYANGA KUNUFAIKA NA MIRADI YA REA, WAUZIWA KWA RUZUKU MITUNGI 13000

    June 02, 2025
  • ENDELEENI KUTOA ELIMU ZAIDI KUHUSU AFYA YA AKILI - DC. MBONI

    May 30, 2025
  • TAKUKURU SHINYANGA YAANZA KUCHUKUA HATUA DHIDI YA UBADHIRIFU WA SHILINGI MILIONI 92 ZA WAKULIMA WA TUMBAKU WA USHETU - DONASIAN.

    May 27, 2025
  • Angalia zote

Video

MIFUKO BANDIA ZAIDI YA ELFU 20 YAKAMATWA SHINYANGA
Video Nyinginezo

Viunganishi vya Haraka

  • Historia
  • Dira na Dhima
  • Hotuba Mbalimbali
  • Video Mbalimbali
  • Maswali yaulizwayo mara kwa mara
  • Picha za Matukio
  • Miongozo na kanuni

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Mfumo wa kutuma, kupokea na kufuatilia malalamiko, mapendekezo, maulizo na pongezi
  • Ofisi ya Rais Menejimenti ya utumishi wa Umma
  • Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Boma Street, Mwanza Road

    Anuani: P.O.Box 320, Shinyanga

    Simu: +255 28 2762222

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@shinyanga.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2018. Mkoa wa Shinyanga. Haki zote zimehifadhiwa