• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
    • eVibali |
Shinyanga Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Shinyanga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili Yetu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
    • Idara
      • Utawala na Rasilimaliwatu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Maji
      • Afya
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ugavi na Manunuzi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Shinyanga
    • Wilaya ya Kahama
    • Wilaya ya Kishapu
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu
    • Halmashauri ya Mji wa Kahama
    • Halmashauri ya Wilaya ya Ushetu
    • Halmashauri ya Wilaya ya Msalala
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Madini
    • Bandari Kavu
  • Huduma
    • Kutoa Ushauri wa Kitaalam
    • Kutafsiri Sheria na Sera
    • Kuratibu Shughuli za Wadau
    • Ulinzi na Usalama
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Fomu
    • Tafiti
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Video
    • Maktaba ya Picha

RC MACHA ASHIRIKI JUBILEE YA MIAKA 25 YA NDOA YA ASKOFU DKT. NZELU WA KKKT SHINYANGA

Posted on: December 21st, 2024

Na. Paul Kasembo, SHY RS.

MKUU wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Anamringi Macha leo ameshiriki katika Ibada ya Jubilee ya mika 25 ya ndoa ya Askofu Dkt. Yohana Ernest Nzelu na mke wake Bi. Lilian Gyunda wa Kanisa la Kiinjiki la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi Kusini Mashariki ya Ziwa Victoria huku akimpongeza kwa kufikia miaka hiyo ya ndoa na kwamba amemshukuru kwa kuendelea kufanya kazi na Serikali wakati wote ambapo waumini ambao ni mazao mema kwa Kanisa na anawaongoza yeye ndiyo hao ambao Serikali inawatumikia.

RC Macha ameyasema haya leo tarehe 21 Desemba, 2024 wakati Ibada hii ambayo pia imehudhuriwa na viongozi mbalimbali kutoka Mkoa wa Shinyanga na Simiyu akiwemo Askofu mstaafu Dkt. Emmanuel Makala ambapo pamoja na mambo mengine amesema kuwa Ssrikali inatambua, kuthamini na kwamba itaendelea kufanya kazi na viomgozi wa Madhehebu ya Dini zote likiwemo KKKT ili kuleta amani, maendeleo na mshikamano katika muktadha wa ustawi wa Watanzania na Taifa letu kwa ujumla.

"Nakupongeza sana Baba na Mama Askofu Dkt. Yohana Ernest Nzelu kwa kufikia siku hii ya leo na kuadhimisha Jubilee ya miaka 25 ya ndoa yenu, Mwenyezi Mungu awabariki sana na kwa upande wa Serikali tuseme tu kuwa tunatambua, kuthamini na tutaendelea kufanya kazi zinazofanywa na Madhehebu yote likiwemo hili la KKKT unaloliongoza ili tunaowahudumia wawe na ustawi wa maisha yao kiroho, kimwili, na kulinda amani yetu na ya Taifa kwa ujumla," amesema RC Macha.

KKKT Dayosisi Kusini Mashariki ya Ziwa Victoria lilimchagua Askofu Dkt. Yohana Ernest Nzelu kuwa Askofu wa pili wa Dayosisi hii baada ya kufanya uchaguzi katika mkutano mkuu uliofanyika Desemba 9-10, 2022 katika Usharika wa Tumaini Bariadi mkoani Simiyu na ambaye leo hii anatimiza miaka 25 ya ndoa yake.

Matangazo

  • No records found
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • SIKU YA TATU YA MAONESHO YA BIASHARA YA KIMATAIFA SABASABA – 2025

    July 01, 2025
  • RC. ANAMRINGI MACHA AKABIDHI OFISI KWA RC. MBONI MHITA

    July 01, 2025
  • RC. MBONI MHITA ASHIRIKI KIKAO KILICHOONGIZWA NA MHE. MCHENGERWA JIJINI DODOMA

    June 28, 2025
  • NAIPONGEZA OFISI YA MKUU WA MKOA WA SHINYANGA KWA URATIBU MZURI WA USHIRIKI WA WAFANYABIASHARA KATIKA MAONESHO YA SABASABA - MASUDI KIBETU

    June 28, 2025
  • Angalia zote

Video

MIFUKO BANDIA ZAIDI YA ELFU 20 YAKAMATWA SHINYANGA
Video Nyinginezo

Viunganishi vya Haraka

  • Historia
  • Dira na Dhima
  • Hotuba Mbalimbali
  • Video Mbalimbali
  • Maswali yaulizwayo mara kwa mara
  • Picha za Matukio
  • Miongozo na kanuni

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Mfumo wa kutuma, kupokea na kufuatilia malalamiko, mapendekezo, maulizo na pongezi
  • Ofisi ya Rais Menejimenti ya utumishi wa Umma
  • Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Boma Street, Mwanza Road

    Anuani: P.O.Box 320, Shinyanga

    Simu: +255 28 2762222

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@shinyanga.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2018. Mkoa wa Shinyanga. Haki zote zimehifadhiwa