• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
    • eVibali |
Shinyanga Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Shinyanga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili Yetu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
    • Idara
      • Utawala na Rasilimaliwatu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Maji
      • Afya
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ugavi na Manunuzi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Shinyanga
    • Wilaya ya Kahama
    • Wilaya ya Kishapu
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu
    • Halmashauri ya Mji wa Kahama
    • Halmashauri ya Wilaya ya Ushetu
    • Halmashauri ya Wilaya ya Msalala
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Madini
    • Bandari Kavu
  • Huduma
    • Kutoa Ushauri wa Kitaalam
    • Kutafsiri Sheria na Sera
    • Kuratibu Shughuli za Wadau
    • Ulinzi na Usalama
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Fomu
    • Tafiti
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Video
    • Maktaba ya Picha

RC MNDEME AWATAKA WANAFUNZI KUKATAA UKATILI, NA KUFUATA MPANGILIO WA KUVAA MAGAUNI MANNE

Posted on: July 19th, 2023

RC MNDEME AWATAKA WANAFUNZI KUKATAA UKATILI

Na. Shinyanga RS.

MKUU wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Christina Mndeme amewataka wanafunzi kukataa ukatili wa aina yoyote na wakiona kuna viashiria vyovyote vya kufanyiwa ukatili watoe taarifa kwa wazazi, walezi, walimu, viongozi wa Serikali au katika ofisi yoyote ili mtu huyo aweze kuchukuliwa hatua stahiki.

Mhe. Mndeme ameyasema hayo leo tarehe 19 Julai, 2023 wakati alipokuwa akizungumza na wanafunzi wa Shule ya Sekondari Isuke iliyopo Halmashauri ya Wilaya Ushetu na kuwataka kutoiga kabisa utamaduni wa nchi nyingene zinazikwenda kinyume na tamaduni zetu watanzania.

Aidha akawata pia wanafunzi wa kiume kuwalinda dada zao, kutowafanyia ukatili wadogo zao au wengine na kujilinda wao wenyewe pia kwani vita ya kupambana na ukatili ni yetu sote hivyo wasikubali kabisa kutokea kwa aina yoyote ile katika maeneo yao wanayoisha.

"Nataka niwaeleze wanangu wote na mnisikilize kwa makini, msikubali kabisa kufànyiwa ukatili na mtu yoyote, na kama kuna viashiria vyovyote vya ukatili toeni taaeifa mapema kwa wazazi, walezi, walimu, kwa viongozi au kwa ofisi yoyote ya Serikali, nanyi vijana muwalinde dada zenu, wadogo zenu, msiwanyie ukatili na msiache kujilinda ninyi wenyewe pia," alisisitiza Mhe. Mndeme.

Pamoja na kazi nyingine lakini pia Mhe. Mndeme amekagua miradi 6 mbalimbali itakayotembelewa na Mwenge wa Uhuru 2023 katika Halmashauri ya Ushetu huku akimtaka Meneja wa Tarura -Ushetu kurekebisha miundo mbinu ya barabara iweze kupitika kabla, wakati na baada ya Mwenge kupita.

Picha ikonesha sehemu ya wanafunzi wa Shule ya Sekondari Isuke iliyopo Halmashauri ya Ushetu wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa (hayupo pichani) alipokuwa akizungumza nao



Moja kati ya Tenki kubwa la maji alilotembelea Mhe. Mndeme mradi unaotekelezwa na RUWASA.

Matangazo

  • No records found
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • MRADI WA TABLET KWA SHULE ZA MSINGI WATAMBULISHWA NGAZI YA MKOA WA SHINYANGA NA WILAYA

    June 03, 2025
  • SHINYANGA KUNUFAIKA NA MIRADI YA REA, WAUZIWA KWA RUZUKU MITUNGI 13000

    June 02, 2025
  • ENDELEENI KUTOA ELIMU ZAIDI KUHUSU AFYA YA AKILI - DC. MBONI

    May 30, 2025
  • TAKUKURU SHINYANGA YAANZA KUCHUKUA HATUA DHIDI YA UBADHIRIFU WA SHILINGI MILIONI 92 ZA WAKULIMA WA TUMBAKU WA USHETU - DONASIAN.

    May 27, 2025
  • Angalia zote

Video

MIFUKO BANDIA ZAIDI YA ELFU 20 YAKAMATWA SHINYANGA
Video Nyinginezo

Viunganishi vya Haraka

  • Historia
  • Dira na Dhima
  • Hotuba Mbalimbali
  • Video Mbalimbali
  • Maswali yaulizwayo mara kwa mara
  • Picha za Matukio
  • Miongozo na kanuni

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Mfumo wa kutuma, kupokea na kufuatilia malalamiko, mapendekezo, maulizo na pongezi
  • Ofisi ya Rais Menejimenti ya utumishi wa Umma
  • Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Boma Street, Mwanza Road

    Anuani: P.O.Box 320, Shinyanga

    Simu: +255 28 2762222

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@shinyanga.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2018. Mkoa wa Shinyanga. Haki zote zimehifadhiwa